Hongera sana Cecilia

FB_IMG_1444360997456Hongera sanaaaaaa binti yetu Cecy kwa kumalizia elimu yako ya msingi. FB_IMG_1444360969305Huu uwe ni mwanzo tuu, tunakuombea uwendelee mpaka upate ile elimu ya juu ambayo Mungu ataona inakufaa kupata. Mungu akutangulie, akakushindie majaribu yote na ukaishike sana elimu usiiache.  FB_IMG_1444360956936Hongera sana dada yangu na shemeji yangu kwa kukuza binti. Mungu abariki uzao wenu wote.  FB_IMG_1444360990994-1Kwa mara nyingine tena, hongera sana Cecilia. Ubarikiwe sana.

Leave a Reply