Hot shot of the day

FB_IMG_1451413399069Wow! Black Beauty! Huyu anaitwa Aisha toka Bongoland. Nimependa sana hii picha, haswa ngozi yake. Ngozi nyeusi laini na nzuri kabisa. I mean her skin texture is to die for! Mimi binafsi napenda sana weusi wangu tatizo nililonalo; ngozi yangu ya uso inamafuta sana hivyo huwa napata chunusi usoni. Na dawa nyingi za kuondoa chunusi zina bleach basi napataje shida?! ?? kwa hiyo huwa nikiona watu wenye ngozi kama ya Aisha huwa na furahia sana. Tunza ngozi yako dada ni rangi adimu sana kupata sikuizi. Nashukuru sana Mungu mwanangu naye anangozi kama yako, very soft!Ubarikiwe sana mpendwa. Uwe na mwaka mpya mwema.

Leave a Reply