Eddah Elegant Catering Christmas party

FB_IMG_1451545129314

Niliahidi kuleta hizi picha hapa, basi ngoja nitimize ahadi yangu. Kwa wale mliotukutia kati ni vihi, wiki iliyopita siku ya Christmas Eddah Elegant  Catering iliandaa party kwa familia na wanajumuiya wote wa ishio Maryland na vitongoji vyake. Basi zifuatazo ni picha za kazi waliyoifanya. IMG_3108+(2)Huyu ndio mama EEC (Eddah Elegant Catering) mwenyewe. Hongera sana tena sanaaaaaa Eddah Gachuma.  Kazi yako imefurahiwa sana. Nawewe  mwenyewe ulipendeza sana.FB_IMG_1451545162405FB_IMG_1451545249998Mapambo na rangi zake zimeendana kabisa na tukio. Imependeza sana. FB_IMG_1451545120887Ninaposema Eddah Elegent Catering naomba ujuwe kuwa si wababaishaji ati! Ni watu wa huwakika na kile wanachokifanya. Hivyo usije sita kuwatumia pale unapo hitaji catering. FB_IMG_1451545136241Nimependa Ubunifu wako wakujua kuwa Christmas ni siku ya kifamilia zaidi hivyo ukakumbuka kuweka sehemu ya watoto nao wakafurahi. FB_IMG_1451545155999Unajua hakuna ubaya wowote watu hata kumi kufanya biashara ya aina moja. Kitu kikubwa ni ubunifu! Wewe unajitofautishaje na wengine ili uvutie wateja wote kwakoFB_IMG_1451545148021 Kwa mfano kuna weza kuwa hata na KFC kumi katika eneo moja lakini huduma zao ndizo zitakazo watofautisha kati ya mmoja na mwingine. FB_IMG_1451545099006Hivyo kazania sana kuwa mbunifu, na huduma zako zidisha ubora zaidi ya hapa. Hata kama unapata faida kidogo lakini kama watu wanakupenda watakuita kila siku kwenye sherehe zao. Ukishajenga trust kwa wateja wako yani hata uwa charge kiasi gani watakuita tuu. FB_IMG_1451545243722Kwa mara nyingine tena hongera sana Eddah Elegant Catering kwa kazi nzuri unayofanya. Najua next time itakuwa nzuri  zaidi na zaidi. IMG_2962Wapendwa hizi ndizo party za kwenda haswa kwa wazazi. Party zenye heshima na hadhi zake . Party ambayo uwoni aibu kumwambia mtoto wako twende sote mwanangu! Party ambazo zinajali familia na kuandalia watoto sehemu yao bila gharama ya ziada. Siku nyingine ukisikia EEC  wanaandaa event yoyote yani usikose. FB_IMG_1451545175317

Leave a Reply