Kheri ya siku ya kuzaliwa Mwl. Ngonyani

20150704_181835-1Nakutakia kheri ya siku ya kuzaliwa mzee wangu Mwl. Ngonyani. Mungu akulinde, akupe afya njema, na furaha tele. Pia uwe na kheri ya kumaliza mwaka 2015 na kuuanza mwaka 2016. Ubarikiwe siku zote. Much love from Texas.

Leave a Reply