Huduma ya haraka kwa upungufu wa sukari mwilini

Ubongo wa binadamu unahitaji sukari ( glucose) kwa mda wote kama gari inavyohitaji mafuta.Sukari hiyo itokanayo na vyakula aina ya wanga, huingia katika mzunguko wa damu na kuzipatia chembechembe za ubongo sukari ya kuendeleza utendaji.  Hivyo ni vyema kusema ubongo hauna uwezo wa kuzalisha au kuhifadhi sukari ya kutosha  matumizi ya  baadaye.

Kutokana na hitilafu ya kingosho (dysfunctional pancreas) wagowja wa kisukari huwa na hali ngumu ya kuthibiti sukari katika kipimo kinachohitajika na hivyo hujikuta   sukari kuwa juu kupita kiasi (Hyperglycemia) au chini kupita kiasi(Hypoglycemia).  Japo hali zote huhitaji huduma, leo tutazungumzia Hypoglycemiaambayo huhitaji huduma ya haraka ili kuokoa maisha. Soma zaidi hapa

Leave a Reply