Kumbukumbu

IMG-20151009-WA0000

Leo tarehe 12.10.15 umetimiza mwaka mmoja toka ututoke tarehe 12.10.14 katika hospitali ya Muhimbili. Umeacha pengo kubwa katika familia ya Marehemu Philip Ambrose Macha.Unakumbukwa daima na watoto wako Maryam,Mustara. U nakumbuka na  watoto wa dada zako na kaka. Unakumbukwa na dada zako Saum, Maryam, Thanisa, mama wakubwa, wadogo, kaka, mashangazi, wajomba, team Manchester, mtani jembe, wanajumuiya wa Fransis wa exaver,waumini wa kanisa Katoliki la Hananasifu. Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe milele. Roho ya marehemu Anna Philip Macha ipate rehema kwa Mungu apumzike kwa amani, Amina.

Naomba nitoe pole zangu za dhati kabisa kwa wafiwa wote, ndugu, jamaa, na marafiki wa Anna, pamoja na ukoo wote wa Macha. Mungu awape faraja na muweze kupata amani katika Bwana wakati mkiendelea kuomboleza cha mpendwa wenu. R.I.P Anna.

Leave a Reply