Father and daughters moment

FB_IMG_1442500324317Baba na mabinti zake wamependeza sana. Hakuna kitu watoto wakike wanahitaji sana katika kukuwa kwao zaidi ya uwepo wa baba yao / zao katika maisha yao. FB_IMG_1442500331215Upendo ambao mtoto haswa wa kike anao upata toka kwa baba yake unasaidia sana kumpa confidence  na kuweza ku-accomplish  kitu chochote kile. FB_IMG_1442500290334Kazi nzuri sana Vincent, umekuza haswa. Na hongera sana kwa kuwa baba mwema kwa wanao. Mbarikiwe.

Leave a Reply