Mama Salma Kikwete akabidhi kijiti!…….Mama Samia Suluhu awa mlezi mpya wa Girl Guides Association!

 Kilikuwa kipindi kizuri na chenye mafanikio kwa wasichana na wanawake kwa muda wote tuliokuwa pamoja na mama yetu Mhe Mama Salma Kikwete kama mlezi wa chama chetu cha Tanzania Girl Guides Association na hatimae leo hii kukabidhi kijiti kwa Makamu Wa Rais Mama Samia Suluhu kama mlezi mpya wa chama. Tunategemea mengi mazuri kutoka kwa Mama Samia hasa katika malezi ya mtoto wa kike #TanzaniaGirlGuidesAssociation #Wagggs #FriendsOfGirlGuidesTanzania ❤️ My Jojo you too cute like Cookie Iyobo, are guys related or because I love y'all ndio mkaamua ku-look alike ?? pendeza sana! Yes! Ukisikia mwingine jua katoka China au Thailand. ??    #FakeZoneCountries 
Hongera sana mama yetu kipenzi Mh. Samia Suluhu kwa majukumu mapya ya ulezi wa watoto wakike! Najua na ninaamini wadogo zetu na mabinti zetu wakike watakuwa salama chini ya uwangalizi wako! Asante sana mama Salma Kikwete kwa kuifanya kazi hiyo vyema. ?  Mbarikiwe mama zetu ?

#WanawakeTunaweza 
#UkomboziWaMwanamkeUtaletwaNaMwanamkeMwenyewe

Leave a Reply