Sister sister

FB_IMG_1458825460352-1

Raha sana madada wakipendana na kufurahia mafanikio ya mwingine bila kinyongo chochote. Ndugu mnatakiwa kupendana kwa dhati kama hawa dada zangu, mnasaidiana, na kutiana moyo. Shida ya nduguyo ni yako, na furaha ya nduguyo ni yako! Wajaluo wana msemo mmoja ambao maana yake ni kuwa; ‘ndugu ndiyo anatakiwa afiche aibu ya ndugu yake. Kwani aibu ya ndugu yako ni yako’!….  hongereni sana mabinti wa mzee Kachare kwa kuwa mfano mzuri kwa wadogo zenu na watoto zetu. Nawatakieni kheri ya maandalizi ya siku ya Ijumaa Kuu na  Pasaka njema ❤❤ dada zangu!

2 thoughts on “Sister sister”

  1. Asante sana,, mdogo wetu Alpha Igogo kwa kuliona hili, tuko pamoja tu nakupenda sana, Mungu akubariki!

Leave a Reply