Je! Unamfahamu vizuri huyo unayetaka kufunga naye pingu za maisha?!

Je unamfahamu vizuri huyo unayetaka kuweka naye agano la milele? Embu sikiliza hii clip kutoka kwa huyu Mchungaji aitwaye Creflo Dollar, naamini utapata fundisho au wake up call fulani ……..

Tafadhali, picha ya Mr and Mrs Magufuli haihusiani na story. Nimetumia tu kwasababu ni couple, na nawapenda?

Leave a Reply