Stand-up comedy ni sanaa kama zilivyo sanaa nyingine-Jokate Mwegelo

screenshot_2016-11-29-10-45-21-1screenshot_2016-11-29-10-45-14-1screenshot_2016-11-29-10-44-41-1Beautiful! Umependeza mno Jokate wetu! That dress is WOW!!…………Ulichosema ni cha kweli kabisa. Hichi kipaji siyo cha kukidharau hata kidogo kwanza lazima uwe na akili shap sana ili uweze kuwa comedian mzuri. Yani lazima uwe na uwezo wakuona na kutengeza joke papo kwa papo. Pia ni sanaa ambazo zinahitaji maandalizi na nidhamu sana kama zilivyo muziki na mpiraa n.k ili uweze kuburudisha, na kufikisha ujumbe kwa jamii katika njia ya pekee. Binafsi ni mpenzi sana wa Stand-up comedy kama hazitumii maneno makali sana…….. Asante kwa maoni yako kwa jamii na viongozi hii pia ni ajira kubwa sana kama zilivyo ajira zingine. Kuna watu kama Jimmy Fallon, Kevin Hart, Jimmy Kimmel n.k ambao ni mharufu sana au hata Jay Leno na David Letterman ambao kwa sasa wamestahafu na wamejitengenezea kipato kikubwa sana kwa kutumia commedy hapa U.S.A……..pia kuna mpaka channel ya TV hapa inaitwa Comedy Central ambayo inaonyesha commedy siku nzima. Hivyo hii ni fursa ya kutizamwa sana na serikali pia watu ambao wangependa kuwekeza kwa wasanii wa aina hii.

Leave a Reply