Swahili restaurant / village

20150615_171823Mwezi ulio pita nilipo kuwa  Maryland state, kaka zangu Mr. President (Iddi Sandaly) na Dj Luke walinilipeleka kula kwenye mgahawa ujulikanao kama Swahili Village au Swahili restaurant…….20150615_171819

20150615_171819Yani chakula chao nikitamu sanaaaaaa! Kwakweli I was shocked kuwa kuna wakenya wanajua kupika vyakula vitamu namna hii! Hongereni sana shemeji zangu (mdogo wangu kaolewa na mkeyee)………. 20150615_171840Kwakweli chakula chenu nikitamu sana ila mboreshe upande wa customer service! Yani mnasubiria chakula kwa muda mrefu sanaaaaaa!  Yani kama mtu una lunch break ya 30 minutes to an hour ningumu sana kula sehemu hii. Nimetowa hii comment kwasababu nilipelekwa hapo mara mbili na mambo yalikuwa hivyo hivyo pamoja na kuwa mida ilikuwa tofauti na wahudumu ni wengine!! 2015-06-15 20.28.05Asanteni sana my brothers, Mr. President na Dj Luke kwa ukarimu wenu. Mbarikiwe sana mpaka mshangae  🙂  🙂 Wapendwa wasomaji basi ukiwa mitaa ya Maryland usikosefika Swahili Village au Swahili restaurant.  Na ukiwa mitaa ya Wichita, Kansas husikose fika East African Cuisine  pale utamkuta dada Tuma. Na ukiwa pande za Kalamazoo, Michigan usikose fika Jambo restaurant pale utamkuta si mwingine bali dada Frida. Asanteni!

Leave a Reply