Kutana na my nephew Elvin

IMG-20150714-WA0014Mmemuona nephew wangu eeh?! Yeye anasema ni team Dr. Magufuli kwa as ilimlia zote! Na jezz amevaa kuweka msisitizo 🙂  🙂 Sasa mwanangu wewe ni chotara wa Kenya na Tanzania inabidi umkazanie Dr. Magufuli apitishe ile kitu ya Dual-citizationship maana kumsupport kote huku halafu ukifika 18 eti uchague inchi hapana kwakweli 🙂 IMG-20150714-WA0015Safi sana mwanangu! Mungu akulinde akubariki sana uwe na afya njema. Amina. Love son 😍

Leave a Reply