Birthday wishes

IMG_0213Happy birthday beautiful Nafsa! Mungu akulinde, azidi, kukubariki, ukuwe katika kimo na hekima, ukashike sanaaaaaa Elimu na usimuache Mungu katika maisha yako mwananetu! Mungu awe nawe katika siku hii yako muhimu ya kuzaliwa, akupe furaha nyinyi na amani tele ndani ya moyo wako, uwe na afya njema, na uzungukwe na upendo wa kweli! Happy birthday lovely daughter!

Leave a Reply