Taste of Tanzania

 Haya kwawale mnaopenda mapocho pocho na kukaangiza kitabu hicho apo kwa ajili yenu wote mnao taka ongeza ujizu na mnao jifunza kama akina sisi hapa ?? honestly Chapati za kusukuma nikitu kimenishinda kabisa aaaa! Nimejaribu mpaka nimenawa mikono ?? Mimi na mdogo wangu Magreth ndio nyumbani kwetu hatujui kupika chapati za kusukuma ?? Pia kukata na kusukuma Samosa napo ni majanga.  Kuchanganya najua vizuri sana tatizo kufunga. Mwe! Halafu sasa mikono yangu ni mizito utafikiri nimefungiwa “hirizi” ??? ??? Maandazi, chapati za kumimina na vitu vingine hapo aaah! Mtalambana, najua sana. Vitumbua ni ugonjwa wangu mkuu!! Napenda mno vitumbua lakini kazi yake siipendi bora ni nunue kwa mtu ?? ……..Haya nunua kitabu hicho!

Leave a Reply