Tunakuombea upone haraka na urudi nyumbani kaka Andrew Sanga!

Screenshot_2016-04-19-13-51-34-1AttachmentBinafsi simfahamu kabisa wala sijabahatika kukutana na Andrew Sanga. Lakini kama mwanadamu, Mtanzania mwana diaspora, na mwana jumuiya wa THC nimesikitishwa sana na kilichotokea kwa ndugu yetu Andrew. Pia nahuzunishwa sana na hali yake aliyonayo sasa. Naomba niungane na wana diaspora wenzangu, ndugu, jamaa, na marafiki katika maombi ya kuomba Mungu afanye miujiza yake ili ndugu yetu aweze kupona na kurejea nyumbani. Watu wengi wanamuhitaji sana, lakini mtoto wake anamuhitaji zaidi! Hivyo tunaomba Mungu asikie maombi yetu na aone kilio cha mtoto wa Andrew! Sisi tunaomba kama wanadamu lakini yeye ni Mungu hivyo mapenzi yake yatimizwe Screenshot_2016-04-19-13-53-08-1Screenshot_2016-04-19-18-15-58-1

Screenshot_2016-04-19-14-49-52-1Get well soon Andrew, in Jesus name….Amen!

2 thoughts on “Tunakuombea upone haraka na urudi nyumbani kaka Andrew Sanga!”

Leave a Reply