Maombi maalum kwaajili ya kaka Andrew Sanga

** LATEST UPDATE FROM ANDREW SANGA’S FAMILY**

Dear Community Members,

Andrew Nicky Sanga is still admitted at Memorial Hermann Southwest Hospital. He was shot in the head only. The bullets are still in there and will not be removed. There is too much risk in removing them as said by Neurosurgeons, Neurologists and ICU Critical Care Professionals.

This matter has been discussed by multiple healthcare professionals and family. Andrew’s condition is very serious, he is a fighter and he knows that he is loved with a lot of people that’s why he is fighting to stay with us. Now all we need as Andrew’s family, friends, Houston community and healthcare professionals is everyone’s support in praying for Andrew. We appreciate everyone’s support and Prayers.

Family will also appreciate privacy in this matter (especially with Andrew’s partner Ms. Emmy Matafu). For all communications please contact the family Spokesperson Mr. Prosper Kiswaga or the Community (THC) Leaders.

Ahsanteni sana

Cassius Pambamaji

THC Spokesperson  FB_IMG_1461091870394

Tunamshukuru Mwenyezi Mungu amewezesha watu ***349****kushiriki pamoja kwenye Prayer Line iliyoendeshwa na UMOJA International Outreach Church of Dallas 7:00pm CT April 18, 2016 na kuambatana na maombi maalum ya kumuombea ndugu yetu ANDREW SANGA wa Houston TX ambaye yuko ICU, kutokana na majeraha ya risasi.

***UONGOZI wa Kanisa umetangaza kwamba Jumanne April 19, 2016 kutakuwa na MFUNGO maalum kwa ajili ya maisha na afya ya Mr. Sanga.  MFUNGO utakuwa 6:00am CT – 6:00pm CT

Ikimpendeza Mungu tukutane Tena kwenye Prayer Line ya 6:00am CT Kesho (April 19th).  To join please dial 218-339-8459;256445#

TAFADHALI FWD ujumbe huu kwa wengine ili tujumuike pamoja kwenye maombi.  ASANTE na Mungu awabariki?

UMOJA Prayer Line Managers

******Zifuatazo ni RATIBA zetu za huduma***

PRAYER Line 218-339-8459;256445#

6:00am- 6:30am (Mon – Sat)

1:00pm – 1:30pm (Mon – Fri)

7:00pm – 7:30pm (Mon -Wed, AND Fri)

BIBLE STUDY Line (218-895-9191;123456#) KILA Alhamisi 7:00 pm – 8:00 pm CT.

Leave a Reply