Zilipendwa by WCB!

Ok, let us talk! Zilipendwa ndio wimbo mpya wa Diamond ambao amewashirikisha wasanii wengine toka Wasafi. Tukubali ukweli kuwa wimbo ni mzuri sana. Na video yake nampa 100% kwani you can see talents and creativity kutoka mwanzo mpaka mwisho wa wimbo. Ni kitu unique! Lakini ukweli kabisa, watu tumechoshwa na tabia za Diamond!! Nafikiri huu ndio muda muafaka wa yeye kufanya mabadiliko lasivyo anguko kuu linakuja!!
Watu wamechoshwa na tabia yake ya kudhalilisha watoto wakike! Matusi na skendo zisizo isha!! Diamond badilika kabla hujachelewa, ule mfagio uliotumika kumsafisha Eric Shingongo na magazeti yake ya udaku utatumika kukusafisha wewe hivi karibuni! Believe me if you want! Fanya mziki! Na nani anasingiziwa mtoto karne hii?! Hujui pakufanyia DNA test hapo Dar? Kha! Badilika! ........Otherwise hongera.

Leave a Reply