Category Archives: Blessing being Blessing

Happy 10th birthday my twin!

Babysister 😍😍

Two digits counting has officially begun! Happy 10th birthday twin babysister! Wishing you a marvelous year and many more to come. Happy birthday mdogo wa mimi. 😘❀️

sisterhood!.😍😍

Mimi mwenyewe na pacha wangu nyumbani Kibada. 😍😍

Pachaa kama pacha! Kwaraha zetu ndani ya Serena hotel, Dar es salaam.

Blessing katika ubora wake 😍

Happy birthday beautiful we all love you. 😘❀️❀️

Keeping up with Blessing: Happy sixth birthday

Happy sixth birthday my twin sister! May God richly blessed you. Love you and missing you terribly!

Keeping up with Blessing!

Future Bosslady doing what she knows best ?Β Mdogo wangu ni mtu mwenye akili sana ma ana vibaji vingi sana, na mbunifu. Jioni ya leo (masaa ya Tz) katoa maji kwenye chupa na kutengeneza viatu ?Β Mawazo ya mtoto yoyote yule yanajengwa na wazazi au jamii inayo mzunguka. Ukimuacha mtoto akawa anaishi na kuzungukwa na watu ambao mawazo yao ni hasi basi usitegemee mema kutoka kwa huyo mtoto kwani ubongo wake utakuwa umejazwa vitu ambavyo sio sahihi na itakuwa ngumu sana kumbadilisha mtu kama huyo. Β Wazazi ni vyema kuruhusu na kuwajengea mazingira huru watoto ili waweze kutoa mawazo yao katika njia mbali mbali inasaidia kujua talent zao mapema. Β Here she’s in Indian attire, beautifulΒ Okay, let keep keeping up with her ??