Category Archives: Sisterhood

Happy 10th birthday my twin!

Babysister 😍😍

Two digits counting has officially begun! Happy 10th birthday twin babysister! Wishing you a marvelous year and many more to come. Happy birthday mdogo wa mimi. 😘❀️

sisterhood!.😍😍

Mimi mwenyewe na pacha wangu nyumbani Kibada. 😍😍

Pachaa kama pacha! Kwaraha zetu ndani ya Serena hotel, Dar es salaam.

Blessing katika ubora wake 😍

Happy birthday beautiful we all love you. 😘❀️❀️

Muhtasari wa matukio ya mwaka 2022 -sehemu ya kwanza.

Dec 2022

Mwaka 2021 niliufunga vyema na kuufungua 2022 vizuri sana. Namshukuru Mungu kwani umekua mwaka mwema sana wenye mibaraka mingi. Changamoto katika maisha hazikosekani kwani hatuwezi kujua tu imara kiasi gani kama hatutapitishwa katika changamoto hizo.

Daughter

Wanasema dhahabu au madini yoyote ya thamani hayapatikani juu ya barabara wala kando kando ya maji! Nilazima yachimbwe chini ya ardhi na yapitishwe kwenye moto mkali ndipo yawe haya madini tunayofurahia kuyaona. Hivyo, sikuzote tukipata changamoto tusikimbilie kusema “kwanini mimi?” Bali tumwambie Mungu najua hili ni darasa unanipitisha japo somo bado sijalielewa, naomba unipe HEKIMA ya kuweza kulielewa somo hili ili nifuzu mafunzo yangu vyema. Najua maumivu ninayopitia nikwaajili ya utukufu wako na mimi ndiye uliyenichagua kuwa kielelezo cha utukufu wako.

Basi kwa kusema hayo, naomba niweke kumbukunbu ya matukio yaliyozunguka maisha yangu mwaka huu wa 2022. Tukumbushane kushukuru katika kila jambo. Sikuzote tuhesabu mibaraka yetu kwani ni mingi mno sema tunafunikwa na upofu kwa kuangalia maisha ya watu wengine na kudhani kuwa wamebarikiwa kutuzidi. Hapana! Mungu anatubari sote kwa jinsi impendavyo yeye kwa wakati wake.

Hizi ni baadhi ya picha tulipiga mwanzoni mwa Dec 2021 tulikuwa maeneo ya tunako ishi karibu na NASA Space Center, Houston, Texas

Baadhi ya picha tulizopiga kwenye Christmas party 20021 iliyofanyika Hilton hotel, Houston, Texas.

2021 THC Thanksgiving Gala
April 2nd 2022

Mwenyezi Mungu alitubariki tukafurahia kuona mwanangu ameongeza mwaka mwingine. Ilikuwa siku ya Jumosi tarehe mbili mwezi wa Nne! Na zifuatazo ni baadhi ya picha ya siku hiyo.

Mama na mwana 😍

Maisha ni nini?!

“Maisha ni nin? Swali hili limekuwa na utata na kuusumbua ulimwengu ni nini maana ya maisha; je! maisha ni kuwa na mume mwenye pesa nyingi? Je!maisha ni kuwa mke mzuri? Je! maisha ni kuwa na nyumba au gari nzuri? Je! maisha ni kuwa na marafiki wengi? Je! maisha ni kuwa na watoto? au je! maisha ni kuwa na kazi nzuri inayokupa heshima? Maswali haya yote ni sawa na bure maana watu wamekuwa na vyote hivyo na bado hawaelewi ni nini maana ya maisha!Β Maisha ni kutambua kuwa kuna Mungu na kukubali kuisikiliza sauti yake, kukubali kuwa yeye ametukomboa katika utumwa wa dhambi. Maisha ni kutambua kuwa miguuni pa Yesu pekee ndio mahali pa usalama Luka 10:38-42″Β 

Happy holidays from mama Prince Kairo and her sisterhood squad!

“Pray for a family rather than just friends . These ladies right here though ….. I love my sisters . We are so grateful to have each other’s back #PrinceKairosAunties #HappyHolidays”—– Mama Prince KairoΒ  Β  Β  Β Beautiful smile mama Prince Kairo! Mmependeza sana, love that sisterhood spirit! …….Happy holidays to you all!Β 

Ndugu wanapokutana…….!

Pale ndugu wanapokutana ni furaha kwa kwenda mbele! ........mama akipata kumbukumbu ya picha na binti yake kwa furaha ya kuonana tena baada ya miezi kadhaa kupitia! Magreth akimpokea dada yake Elline kwa furaha sana!.......... Β kwafaida ya wasomaji wangu, Elline ni dada yetu mkubwa, mimi ndio namfuata. Yeye alikuwa anaishi Geita lakini mwezi uliopita wamehamishiwa kikazi Makao Makuu (Dodoma). Hivyo sasa ni wakazi wa Dodoma! ........Tunamshukuru Mungu kwa yote!Β 

Je! nawewe ni kama mimi?

What's up with my hair ???Nauliza kama kuna mtu mwenye mtazamo kama wangu! Mimi picha is all about memory / memories captured! Its more about the "moment" than the look! Yani naweza piga picha katika hali yoyote ile; niwe nimevaa vizuri au la! Niwe nimepaka makeup au la! Ilimradi kuna kumbukumbu itakayotokana na hiyo picha kupigwa mie huwa sijali! And I can share it! Because I'm a real person comfortable in who I'm! Mimi napenda sana memories za picha. 
Sisi tulizaliwa kwenye familia ambayo by then haikuwa na uwezo sana lakini Camera was around our home! Baba yetu anapenda sanaaaaaa picha yani sasa hivi ni uzee na majukumu mengi ndio yamemfanya a-slow down! Nafikiri mimi nimeiga hako katabia ??? .........

Sisterhood

 Trust me, sijui ninesha mtumia "Muhaya" picha ngapi but I normally don't care how I look mpaka siku hizi kanizoea (I guess) ??? au ndio mambo ya "kunyapia nyapia" makaratasi ya Ujaluoni hivyo hana budi ?? Haki vile umeshawahi ona wale watu haswa wakina dada /wanawake ambao hawawezi weka picha zao kwa social media mpaka ziwe "perfectly fine"? Yani hata kama ni ndugu yake amevaa siyo kulingana na hadhi atakayo yeye basi hiyo picha au hizo picha hamta kaa mzione kwa social media! 
Hawa ndio wale watu ambao ndugu zao wote ni wenye pesa, wasiopitwa na fashion ya nguo yoyote, wenye kupaka makeup 24/7 yani those kinda diva-ish behavior kama Mariah Carey! Na, hizo tabia zina wa-cost sana! Unaona jinsi Mariah Carey pamoja na uzuri wake na pesa alizonazo bado Nick alimuacha? Akasema I can't take it anymore! Haya juzi juzi tu hapa akampata kijana Bilionea akamvisha na pete ya uchumba naye baada ya mwaka mmoja kamwaga manyanga ??Β (tazama video hapo ??) .....sasahivi kaishia kum-date back dance wake ????

Personally, I'm allergic to "Divas"! Kuna tofauti ya mtu kuwa classy na mtu kuwa Diva! Kwamfano, Zari is very classy but she ain't a Diva! Ndio maana unamkuta anaweza kwenda kokote na ku-cop na watu wa aina yote! Hili hata kwa Wema Sepetu pia, she's Β not a diva! But Wema lacks CLASS au naweza sema ameshindwa kuelewa where / how to apply it though she's Β down to earth. 

Anyway, wenyewe wanasema hivi "Fake people have an image to maintain and protect. Real people just don't care"! ?? #BeReal

Women to women is an event you don’t want to miss it out!

My people! #WhenItsFamily

Sisterhood: The Mwamangas!

screenshot_2016-11-25-16-07-22-1OMg! Didn’t know kuwa Emelda ana mdogo wake mrembo kama yeye! Black beauty wa nguvu. Wow! So sweet! I love Emelda so much, ni mwanadada mwenye akili ya maendeleo sana. Yani ni mfano mzuri sana kwa jamii yetu haswa watoto wakike. Mimi she inspires me sana katika kupigania kufanikisha ndoto zangu. Ni mwanamke shujaa kweli. I love her determination, ambitious, and character I hope na naamini mdogo wake naye ana roho na tabia kama za dada yake…….Emelda you have a lot to teach young ladies ili waweze kujikomboa kiuchumi bila kutegemea wanaume. You are an Icon on this one especially for the young ladies who are coming from low-income families!…..,Nimefurahi kwa kweli! Mbarikiwe sana