Category Archives: Blood is thicker than water

Muhtasari-sehemu ya 5: Kutembelea familia ya Nyagilo.

Nyagilo’s residence, Mbweni.

Namshukuru Mungu kwa kutupa nafasi ya kutembelea familia ya mdogo wangu Janeth/ familia ya Nyagilo. Mimi nilikuwa sijawahi kufika kwenye huu mji wao mpya kwani walipo maliza ujenzi na kuhamia nilikuwa sipo. Wanaishi Mbweni walihamia huko takriban miaka 2 iliyopita.

Safari yetu ilianzia nyumbani Kibada ambapo nilipata ukodaki moment na mtoto wa kaka yangu aitwae Mary, huyu ni mjukuu namba 3. Na kulia kwangu ni kijana wa dada yangu mkubwa anitwa Daniel, yeye ni mjukuu namba 2 na pia ndio mjukuu mkubwa wa kiume.

Mercy

Bidada hapo juu ndio mjukuu namba moja, na wazazi wangu hupendelea kumtambulisha hivyo kwa watu “mjukuu namba moja” 😍😍 Eeh! Niliwapiga chenga wakubwa zangu nikaleta mjukuu wa kwanza! πŸ˜…πŸ˜…

Hapo juu naye ni mpwa wangu, mtoto wa pili kuzaliwa kati ya watatu. Anaitwa Evin Otieno Nyagilo, bali mie napenda kumuita “my International nephew” 😍😍

Alipewa jina la kati la baba yetu. Pia mtoto wa dada yangu Daniel naye alipewa jina la kati la baba yetu-Otieno. Mbaaraka mkubwa sana. Mary yeye alipewa hilo jina kwasababu alizaliwa siku ya Christmas 25th, December huko U.K. She’s a Christmas baby. 😍😍 Huwa napenda kumuita Kitukuu cha Queen Elizabeth, Muingereza mwenye ngozi ya Chocolate. 😜😍😍

Kwakweli, tulipokelewa vizuri sanaaaaaaa! Tulikula, tukanywa, na kusaza! Tukacheza na kufanya utalii wa mji wa Mbweni. Jamani huko watu wamejengaje sasa?! Yani ni kibabe sana.

Sisters

Hapo ni wadada wa tumbo moja, Wakwanza kwa madada ndio mama Daniel, halafu mimi-mama Mercy, halafu Janeth -mama Evin. Yani Magreth a.k.a Mrs Jacob Massawe ndio alikosekana hapo. Alikwenda Moshi kwenye harusi ya shemeji yake.

Pia Blessing pichani juu naye hakuwepo, yeye ndio mtoto wa mwisho kwa baba. Anafanya tunakuwa na idadi ya watoto 5 wakike. Mungu wetu ni mwema sana twamshukuru kwa yote.

Happy 10th birthday my twin!

Babysister 😍😍

Two digits counting has officially begun! Happy 10th birthday twin babysister! Wishing you a marvelous year and many more to come. Happy birthday mdogo wa mimi. 😘❀️

sisterhood!.😍😍

Mimi mwenyewe na pacha wangu nyumbani Kibada. 😍😍

Pachaa kama pacha! Kwaraha zetu ndani ya Serena hotel, Dar es salaam.

Blessing katika ubora wake 😍

Happy birthday beautiful we all love you. 😘❀️❀️

Meet the Obama’s extended family members!

Let me introduce you to some amazing people whom also are apart of my family. Oh Yes! I’m related to the Obama’s, Lupita Nyongo, Raila and the the greats who originated from Uhuru Kenyatta’s land. ??

Ladies and gentlemen; its my honor to bring to you the Obama’s extended family members! Lupita Nyong’o cousin-brother, sister inlaw, nephew, and niece! The Raila Odinga’s son and daughter in-law and grandchildren! The Uhuru Kenyatta’s neighbors ?? The Duke and Duchess of Homabay County family! The Royal family of Mr and Mrs Tobby Nyagilo! The Kaganian village descendants! The Luos from great land of Kenya. Looking amazing! Bless His Holy name, the Maker of all! Mbarikiwe sana. ?❀❀

??????

Maisha ni nini?!

“Maisha ni nin? Swali hili limekuwa na utata na kuusumbua ulimwengu ni nini maana ya maisha; je! maisha ni kuwa na mume mwenye pesa nyingi? Je!maisha ni kuwa mke mzuri? Je! maisha ni kuwa na nyumba au gari nzuri? Je! maisha ni kuwa na marafiki wengi? Je! maisha ni kuwa na watoto? au je! maisha ni kuwa na kazi nzuri inayokupa heshima? Maswali haya yote ni sawa na bure maana watu wamekuwa na vyote hivyo na bado hawaelewi ni nini maana ya maisha!Β Maisha ni kutambua kuwa kuna Mungu na kukubali kuisikiliza sauti yake, kukubali kuwa yeye ametukomboa katika utumwa wa dhambi. Maisha ni kutambua kuwa miguuni pa Yesu pekee ndio mahali pa usalama Luka 10:38-42″Β 

Sisters for life!


      Sema wapendwa wasomaji wangu, sorry ningekuwa busy kidogo nafurahia ugeni huu wa mdogo wangu. Amekuja kutembea kwa muda mfupi ambao wamefunga shule. Hii ni mara yake ya pili kuja U.S.A mara ya kwanza ilikuwa 2014 ambapo alikuwa ja mwaka mmoja na nusu. Hivyo ngoja tufurahi pamoja kwa moment hiiΒ