Sisterhood: The Mwamangas!

screenshot_2016-11-25-16-07-22-1OMg! Didn’t know kuwa Emelda ana mdogo wake mrembo kama yeye! Black beauty wa nguvu. Wow! So sweet! I love Emelda so much, ni mwanadada mwenye akili ya maendeleo sana. Yani ni mfano mzuri sana kwa jamii yetu haswa watoto wakike. Mimi she inspires me sana katika kupigania kufanikisha ndoto zangu. Ni mwanamke shujaa kweli. I love her determination, ambitious, and character I hope na naamini mdogo wake naye ana roho na tabia kama za dada yake…….Emelda you have a lot to teach young ladies ili waweze kujikomboa kiuchumi bila kutegemea wanaume. You are an Icon on this one especially for the young ladies who are coming from low-income families!…..,Nimefurahi kwa kweli! Mbarikiwe sana

Leave a Reply