Category Archives: My people

Happy Father’s Day to all fathers out there!

My International brother-in-law with his family-squad! So beautiful! Wishing you and my other brother in laws and all other fathers around the world a very Happy Father’s Day! Mungu azidi wabariki sana and thank you for carrying the title with respect and gratitude! Happy Father’s Day mashemeji zangu wote! Nawapenda sana!

My people! #WhenItsFamily

Wametengeneza historia kwetu!

Kama maelezo ya picha zao yanavyo someka. Hawa wajukuu wa Chief Sarungi Igogo wametengeneza historia ndani ya ukoo wetu kwa mwaka huu! Mnamo tarehe 11 mwezi wa Kumi; Maria Sarungi-Tsehai alikuwa mmoja wa watu walioalikwa kutembelea WhiteHouse ya Marekani chini ya group lijulikanalo Kama Eisenhower Fellowship ambapo walipokelewa na mwenyeji wao Rais Baraka Obama ••••••• Vile vile wiki hii siku ya tarehe 28 Dec  Janeth Igogo-Nyagilo alibahatika kumtembelea na kuzungumza kidogo na bibi yake  Rais wa Marekani-Baraka Obama huko Kogelo, Kenya ambako bibi huyo anaishi. Janeth yupo huko Kagan, Kenya kwa mapumziko ya Christmas na familia yake. Mumewe Janeth ni mzaliwa wa kijiji cha Kagan, Kenya •••••• ? Haya hongereni kwa kuweka historia hiyo kwenye ukoo wetu kwa kuwa watu wakwanza kufanya hivyo ????

Family time: The Ongwelas’

ongwela-thomas-20161101_202147My people!……..friends who sheltered you in time of storm they become family! God continue to bless my family-the Ongwela, I love them deep!

Hapana chezea babu na mjukuu wake

img-20161018-wa0000My niece Mary, look how cute you are! Natural beauty!……….wapendwa wasomaji wangu, huyo mtoto ni niece wangu mtoto wa kaka yangu mkubwa. Jana alizawadiwa zawadi ya Laptop na babu yake kama zawadi ya kumaliza darasa la saba na kujiandaa kwenda form One. Yani hapana chezea babu na wajukuze ati?? siyo kwa kupendwa huko ??………Nafikiri Mary ataendelea na shule za private kwasababu huyu ni ‘MuingerezaMtanzania’! Ana uraia wa UK na TZ hivyo ni vyema akasome college UK au U.S.A kwa aunt yake mimi hapa ?? ……. huyo wa nyuma ni mama yake mzazi  (wifi yangu). Anyway, Mungu azidi wabariki. ❤ you all ?

Nani kama mama!

fb_img_1476657319987-1Awii! My mama huyo! Mama yangu mkubwa jamani! Mrs. Felister Musira! Huyu ndio kifungua tumbo cha bibi yangu mzaa mama, marehemu bibi Valeria Cornel Awiti. Ndio uzao wa kwanza wa babu yangu marehemu mzee Cornel Awiti. …….nakupenda sana mama yangu.  Nakuombea maisha marefu zaidi yenye afya njema na amani tele ?

Sisterhood!

2016-09-04 13.41.46 Sister sister! Janeth, Bernadeta, na Magreth siku ya jana kwenye mnuso wa cousin-brother wao Frank Laurent Sarungi 2016-09-04 13.38.38Bernadeta na Magreth 2016-09-04 13.40.25Janeth na Bernadeta 
2016-09-04 13.37.39Mlipendeza sana wadogo zangu……… missing you

Kutoka Facebook

FB_IMG_1467063142403-2My babysister is cuter than yours!…… Runs in our family blood ??

Matukio katika picha: Hongera sana binamu yangu!

IMG-20160622-WA0020Awii! My people! Ndugu zangu mie hawa! Wajukuu wa marehemu bibi yetu Rhoda Olwengo Igogo. A.K.A Nyakanga! Kutoka kushoto ni babysister-Magreth, wifi yangu mkubwa-Anna, binamu yangu mkubwa na mjukuu wa kwanza wa marehemu bibi yangu, the only one daughter of my late aunt Theresia Obworo Igogo, whom also was the only daughter of my late paternal grandma, the one and only Maria Patrick Otedo A.K.A Mama Ngosha wa ukweli kutoka Mbagala Kizuiyani ??? nafaa kuwa MC eeh LOL! Next one is babysister-JanethIMG-20160622-WA0019Hongera sana binamu yangu kwa kuwa bibi! Mungu azidi kubariki uzao wa tumbo lako! Nawapenda wote ❤❤❤