Hapana chezea babu na mjukuu wake

img-20161018-wa0000My niece Mary, look how cute you are! Natural beauty!……….wapendwa wasomaji wangu, huyo mtoto ni niece wangu mtoto wa kaka yangu mkubwa. Jana alizawadiwa zawadi ya Laptop na babu yake kama zawadi ya kumaliza darasa la saba na kujiandaa kwenda form One. Yani hapana chezea babu na wajukuze ati?? siyo kwa kupendwa huko ??………Nafikiri Mary ataendelea na shule za private kwasababu huyu ni ‘MuingerezaMtanzania’! Ana uraia wa UK na TZ hivyo ni vyema akasome college UK au U.S.A kwa aunt yake mimi hapa ?? ……. huyo wa nyuma ni mama yake mzazi  (wifi yangu). Anyway, Mungu azidi wabariki. ❤ you all ?

Leave a Reply