Category Archives: Happy Father’s Day

Step-Dads, Boyfriends and Other REAL Dads Take One For the Team

Bado tupo kwenye moment au mwezi wa kusherekea na kuwaenzi baba zetu! Baba si yule aliye kuzaa na kukubwaga bila kujua nini kinaendelea kwenye maisha yako au hata kama yupo hachukulii swala la malezi yako kama jambo muhimu katika majukumu yake! Ili uwe baba kamili lazima ushiriki katika malezi ya mtoto kwani hayo ndiyo yatakayo mfanya awe kiumbe kilicho kamilika hapa duniani. Mtoto si kumpa pesa tu! Mtoto anatakiwa kufunzwa manners na life values ili aweze kuishi vyema hapa duniani!…….Sasa kuna wanaume wengi ambao wanalea watoto wa wanaume wengine kwa viwango ambavyo huwenda hata baba zao halisi wasingeweza kufanya hivyo lakini inatokea watoto au jamii haitambui mchango wao kitu ambacho kinasikitisha sana!  Hii article imeandikwa na blogger mmoja aishie Marekani (Sarah Maizes) ambaye ni a single mama na watoto wake kwa 100% wamelela na mwanaume mwingine ambaye si baba yao mzazi. Lakini pamoja na mambo yote anayowafanya bado watoto wake hawaoni umuhimu wake na kumpa heshima yake kama baba!My boyfriend and I have been together for almost 8 years and he has helped me raise all three of my kids. My oldest is 15 and my twins are 12 and he taught each of them how to ride their bikes, how to rollerblade, and assisted each of them in building kick-ass volcanos for Science Lab. He listens to all of their problems, goes to all of their games, and buys them frozen yogurt with extra toppings when they lose. He even talked my son through his first little broken heart. He enforces chores, doles out consequences, and is all-too-often the target of the tweenage, hormone-fueled frustrations that rage under our roof. We’re a team. But, nobody thinks of him as “dad.” When my kids’ friends come over to our house they ask, “Is that your dad?” and my kids say “No. That’s just Scott.” Invariably, the friend shrugs and gives a confused wave before moving on down the hall towards the XBox. And you know what? I feel a little bad for him every time they do. Not because they should call him Dad – we both agree they shouldn’t. They already have a dad they see on Sundays and for dinner once a week. But after giving up eight years of his own life to be whined at, puked on and giving up his only chance to have his own kids to raise mine (and somebody else’s) with me, he deserves to be recognized as something more than “just Scott.”

This post comes from the TODAY Parenting Team community, where all members are welcome to post and discuss parenting solutions. Learn more and join us! Because we’re all in this together.

Happy Father’s Day to all fathers out there!

My International brother-in-law with his family-squad! So beautiful! Wishing you and my other brother in laws and all other fathers around the world a very Happy Father’s Day! Mungu azidi wabariki sana and thank you for carrying the title with respect and gratitude! Happy Father’s Day mashemeji zangu wote! Nawapenda sana!

Happy Father’s Day to the best father in the world!

#TBS January 2010, KekoJuu,
2012, Battle Creek, Michigan

Najua ninaye Baba wa Mbinguni ambaye ananilinda, kunijali, na kunipenda sana. Lakini ni haki kusema kuwa kama asingenipa huyu mzee kuwa baba yangu hapa duniani, sijui leo hii mimi Alpha ningekuwa wapi! It’s hard to have a child like me! Mimi ni mtu ambaye I can speak my mind, but not so good nikiwa nimekwazika ?? Despite of all, my father has been there for me hata kishingo upande ??   Yes, he is my friend and my “best enemy”! He has assured me with unconditional love! Yani kama amenikwaza hata siku moja huwa sisiti kumwambia hata kama kwa hasira nitasema without any fear of ooh! My baba will never talk to me again! And guess what, my dad is just the coolest dad in Africa nasema Africa kwani siyo tamaduni ya wazazi wa Kiafrika kukubali pale anapokosea na kuomba msamaha kwa mwanae / wanae! Baba yangu akiona kweli alikosea basi huwa hasiti hata siku moja kuomba msamaha!

2015, Missouri city, Texas

And for that I salute you and celebrate your day Sir. O.O.Igogo. ……..Nakupenda sana baba yangu na nakuombea maisha marefu sana. Happy Father’s Day baba Alpha!

Kheri na furaha ya siku ya wakina baba duniani!

Baba Akinyi na Akinyi wake ?

Kwa kutumia hii picha ya cousin-brother wangu na binti yake, naomba niwatakie kheri na furaha ya siku ya wakina baba duniani  kwa wakina baba wote wenye mapenzi mema kwa watoto wao! Hii ni maalum kwa cousin-brothers zangu wote, kaka zangu wote wakubwa kwa wadogo, na marafiki zangu wote! Mungu azidi kuwapa hekima na busara pamoja na mapendo ya kuweza kufanya kazi yenu kikamilifu! Happy Father’s Day! ?