Seduce Me imeleta “kizaazaa” kwenye send-off!

Wimbo wa #SeduceMe umependwa na wengi katika kila kona ya hii dunia. Na sasa mabibi harusi watarajiwa  wanautumia katika send-off party zao kama unavyomuona huyo bibi harusi mtarajiwa akiingia ukumbini kwa madaha mengi akionyesha furaha yake huku akim-seduce bwana harusi mtarajiwa kwa kucheza kwa hisia zote! Yani huyu dada kautendea haki huu wimbo, natamani ingekuwa ndio video yenyewe ya huu wimbo. Can you imagine watu wangapi wangevutiwa zaidi? Nakwambia si wazee wala si vijana wote wangekuwa hawachoshwi na huu wimbo. Natamani King Kiba angefanya "Redo" ya wimbo halafu huyu dada ndio awe anacheza hivi, so sexy and classy! She nailed it. Halafu alivyo vaa simple with natural look, just perfect!??........ Mnaona watu wenye ndoa zao halali wanavyoingia ukumbini kwa maringo yote? Sio kama wakina fulani umewekwa kimada unakwenda bandika status kwa Facebook "Married" ??  jamani wewe kama ni kimada kubali tu mbona sisi wengine tupo single na tunasema tu bila wasiwasi ??.......Sorry but no sorry kwani nimemtaja mtu jina?! ???.........Hongera sana bibi harusi. Video hii was fowarded to me sijui source yake.

Leave a Reply