All posts by Alpha Igogo

“Mimi na Tanzania”-Hoyce Temu (Miss Tanzania 1999)

Screenshot_2016-02-15-14-52-39-1Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu akimlisha chakula Narsa Ramadhan (2) akiwa na mama yake Tatu Saleh (kushoto) wakati wa hafla ya chakula kilichondaliwa kwa watoto na wazee wanaoishi katika makazi ya wazee na watu wenye ulemavu wasiojiweza yaliyopo Nunge, Kigamboni, jijini Dar es Salaam ikiwa ni mojawapo ya shughuli ya kijamii kuuaga mwaka 2015 na kukaribisha mwaka mpya 2016.(Imeandaliwa na Modewjiblog)
Licha ya kuvaa taji la ulimbwende, Miss Tanzania 1999, Hoyce Anderson Temu amekuwa mfano wa kuigwa kwa walimbwende waliopita wa taji hilo nchini kwa kujitoa kusaidia jamii ya Tanzania kwa kutumia nafasi aliyonayo nchini. Hoyce ambaye ni mzaliwa wa Arusha amekuwa mstari wa mbele kusaidia Watanzania ambao wanamatatizo mbalimbali kama ya kiafya na elimu ambapo amekuwa akitoa misaada na muda mwingine kutafuta wadhamini ili kusaidia jamii ambayo ameifikia kwa muda huo.,Baadhi ya mafanikio ambayo yamepatikana kupitia kipindi cha Mimi na Tanzania ni pamoja na kupeleka wagonjwa nje ya nchi kwa ajili ya kupata matibabu akiwepo mtoto Hamisi ambaye alimsaidia kwenda kupata matibabu ya mguu wake. Kupitia kipindi chake cha Mimi na Tanzania kinachorushwa upitia Channel Ten kila siku ya jumapili, saa 9:30 usiku, Hoyce amefanikiwa kuandaa vipindi zaidi ya 1,000 maeneo mbalimbali nchini na katika maeneo yote ambayo ametembelea amefanikiwa kutoa msaada kulingana na mahitaji yanayohitajika.  Screenshot_2016-02-15-14-52-50-1
Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu akisalimiana na mmoja wa wazee wenye ulemavu uliotokana na ugonjwa wa ukoma, Mganga Shija (66), wakati alipotembelea makazi ya wazee na watu wenye ulemavu wasiojiweza yaliyopo Nunge, Kigamboni, jijini Dar es Salaam ikiwa ni mojawapo ya shughuli ya kijamii kuuaga mwaka 2015 na kukaribisha mwaka mpya 2016. hqdefault

Uamuzi wa Hoyce kuwa na moyo wa aina hiyo ulikuja baada ya kutambua nafasi aliyonayo kwa jamii na kuona wingi wa matatizo waliyonayo Watanzania wenzake na hivyo kufikia uamuzi wa kuanzisha kipindi ambacho kwa sasa kina zaidi ya miaka 5 na bado ameonyesha nia ya dhati kuendeleza kipindi hicho. Kwa kutambua huduma yake kwa jamii, Mwenyekiti wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga aliwahi kunukuliwa akimtaja Hoyce Temukama mlimbwende bora kuliko wote wakati alipotembelea kituo cha Nunge kilichopo Kigamboni, Dar Es Salaam kinachotumika kutunza wazee wasiojiweza na walemavu wasiokuwa na uwezo. Pamoja ya kujitoa kusaidia Watanzania wenzake walio na uhitaji na kutumia muda wake mwingi katika huduma za kijamii, baadhi ya watu wasio na nia njema na Hoyce wamekuwa wakimwandika vibaya ilimradi tu kumchafulia jina katika jamii inayomzunguka. Screenshot_2016-02-15-14-52-58-1Mtangazaji wa kipindi cha Mimi na Tanzania, Hoyce Temu akirekodi moja ya kipindi chake cha Mimi na Tanzania na mtoto ambaye aliaga dunia kabla ya matibabu.

Kama Watanzania ambao tunapenda kuona huduma za kijamii zinaboreshwa kupitia kwa Hoyce Temu na kipindi chake cha Mimi na Tanzania tuna wajibu wa kuhakikisha tunaungana kwa pamoja kumsaidia Hoyce kama mwanamke shujaa na mwenye moyo wa huruma kuwasaidia Watanzania ili kufikia malengo ambayo ameweka kuisaidia jamii. Muungano wa Watanzania ndiyo pekee utakaozidi kumfanya Hoyce kuwa na moyo zaidi wa kusaidia Watanzania wenzake wenye uhitaji na amekuwa mtu ambaye anaonekana kuzingatia maoni ambayo anapewa na Watanzania wenye nia njema na yeye ili kuzidi kuwa mtu mwema katika jamii ya Tanzania na dunia kwa ujumla. Hata hivyo licha ya watu wachache kumchafua amekuwa mtu ambaye hajishughulishi kuwajibu wenye nia mbaya na mipango yake kuwasaidia Watanzania na muda mwingi kuendelea kuitumia jamii na kufanya kazi kwenye kitengo cha Mawasiliano na Mahusiano katika ofisi za Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) nchini.  Screenshot_2016-02-15-15-21-58-1-1Pia licha ya kazi anazofanya Hoyce kwa sasa anatumia muda wake mwingine kuongeza elimu yake kwa kuchukua PHD ya mambo ya Mawasiliano.

Happy Valentine’s Day to you all!

happy-valentines-day-wishing you all a very happy Valentine’s Day! Sorround yourself with greatness and love! ???

2016-Hottest And Best Couple Of The Year!

FB_IMG_1455423073211-1Mr Mali Kimesera and Linda Bezuidenhout met for the first time in 1989 at Bahari Beach hotel, Dar es salaam, Tanzania. Four (4) months after they met they went separate ways. Linda always has the desire for bettering herself thus she decided to move from Tanzania to Europe looking for a way to achieve her dreamed life as well as to improve the life of her parents whom she loved dearly. Mali also decided to move to U.S.A where his mother originated. After hustling for couple of years between Europe and Tanzania, Linda had enough and made another move! She decided to move to U.S.A FB_IMG_1455422789659-1If something is meant to be it will be! May 31st, 2008 after 19 years of separation Linda and Mali met again in Atlanta, Georgia! Both were married but unhappy! They decided to end their marriages and reunited. On February 2009, twenty (20) years after separation Mali proposed to Linda. May 29th, 2009 they got married in Houston, Texas. Since then, they have been blissfully happy couple! Screenshot_2015-12-08-15-18-36-1-1God has blessed them with four (4) beautiful girls; Leyla, Brenda, Maryam, and Marlinda. IMG_20160213_231500A little over four years (4) ago, Mali saw something very special in his wife-Linda. The love for fashion, the passion and talent for designing. He distinctively made a decision to tell his wife to close the clothing stores that they had and focus on designing. He became her manager. The couple agrees that was the best decision ever! LB has been brightly shining and the best is yet to come! 

IMG_20160213_231355As they are about to celebrate their 7th wedding anniversary, it is my great honor and pleasure to introduce Mr and Mrs Mali Kimesera as 2016 Hottest And Best Couple Of The Year! FB_IMG_1455422724347-1I know some may wonder why this couple? The reason I chose them is due to the fact that they have been able to solve the mystery that many people who are in a relationship  are struggling to find the answer for; ‘if you see my weakness will you still love me?’IMG_20160213_231635Vulnerability is the hardest and scariest aspect of love-relationship especially to women. The fear of rejection makes many women to be opposite of who they are, simply because all they want is to be accepted even if in a wrong way. Many women in relationships tend to hide their emotions and feelings because of the fear of what might happen if he sees me at my lowest point! If you happen to see my weakness will you still love me?! What a mystery!! IMG_20160213_231313-1I do believe none of you can disagree with me that Mr and Mrs Mali Kimesera has vividly answered that question; Yes! I will! We all know about the drama that what was going on in the social medias couple months ago. Many waited to hear Mali’s opinion on the issue. Some even wished to hear the “D” word!Unfortunately Mali refused to make any public comment regarding the matter. All we see is a very happy couple enjoying life to the fullest! IMG_20160213_231106Isn’t that something, and best example to many! Loving someone unconditionally!   I strongly believe this couple where they are now their greatest fear is more of there will be an accident or illness that will separate them and steal their future away?! That will leave it into God’s hand, may He forbid it! IMG_20160213_231715Please understand, by no means I’m endorsing those kind behavior. But we have to agree that in any situation bad or good  there’s a lesson to learn, and that was one of them! Don’t get twisted, there is a different between weakness and evil! Some people are just evil! What I saw in Linda was her weakest  side, not evilness.  Screenshot_2016-01-24-11-04-51-1With that being said, may I once again congratulate Mr and Mrs Mali Kimesera for the winning! Wishing them happiness, joy, and endless love. Congratulations! FB_IMG_1437317045145-1Here’s the family of 2016 Hottest And Best Couple Of The Year! congratulations!

Kheri ya kutimiza miaka 7 ya ndoa!

FB_IMG_1452148528820Wow! Nianzie wapi kusema mim Alpha! Ee Mungu Nipe busara na utulivu wa akili ninapo andika haya maneno ili nisisahau hata moja. Na yote nitakayo sema si kwaajili yangu mimi bali sifa na utukufu zote ni zako wewe uliye Mkuu! FB_IMG_1452150546873-1Naomba niwatakieni kheri ya kutimiza miaka 7 ya ndoa yenu Mr and Mrs Nyongo! Mungu azidi kuilinda ndoa yenu. Akaifunike kwa pendo lililo kuu! Upendo usio tikisika, upendo wa agape! Azidi bariki nyumba yenu na uzao wenu wote. Watoto wenu wakajae baraka, wawe nuru mbele yake yeye Mungu Mkuu na dunia nzima! Nashindwa niseme nini juu yenu kwani upendo na ukarimu mlio nipa mimi Alpha hauelezeki wala hausimuliki! Mimi ni nani hata mnitendee haya yote?! Lakini naamini palipo na Mungu siku zote kuna upendo wa kweli; nyinyi ni watu wa Mungu, mmemvaa Mungu ndani ya myoyo yenu na ndio maana upendo wenu kwa watu ni wakweli! Ee Baba Mungu bariki hii ndoa. Inapotimiza na kusherekea miaka 7 ya kudumu pamoja, kaa nao wadumu ndani yako na shetani asipate nafasi……Asanteni sana tena sana kwa ku share story yenu nasi. (Soma hapa). Happy 7th Wedding Anniversary to you and happy Valentine’s Day! I love you dearly! ❤❤❤

Happy birthday my babybrother Isaka Igogo

FB_IMG_1455414477374Happy birthday my darling babybrother. Wishing you countless blessings from Almighty God.IMG-20160130-WA0007As you keep growing older; may He keep protecting you, guide you to become the best man that He wants you to be. I love you! I love you! I love you! Happy birthday brother!?

Jumaa Mubarak

FB_IMG_1455302323171Jumaa Mubarak kwa wasomaji wangu wote na Waislamu wote duniani. Sabato njema kwa Wasabato wote ulimwenguni. Weekend njema kwetu sote. Start and end it with love. Usisahau kuchungulia hapa JumaPili nitakuwekea couple yetu ya mwaka 2016. Mbarikiwe mno.FB_IMG_1455320843212

Mr and Mrs Kakoschke

FB_IMG_1455302309380Mr and Mrs Kakoschke katika ubora wao ?   naipenda sana hii couple. Mungu awabariki sana. Tafadhali watembelee kwenye blog yao www.maisafari.com au wa follow kwenye IG kwa jina la ZawadiKakoschke. Mbarikiwe sana.

Mr and Mrs Kissa

FB_IMG_1455287212437Wow! Ain’t they cute!……Mr and Mrs Baraka Kissa. Mmependeza sana. Mpendane milele zote. ❤

Blessing katika ubora wake

IMG-20160206-WA0000??? Utoto raha sana eeh! Blessing ngoja nikusindikize na huu wimbo…………………………..???? wakati nilikuwa mtoto nilikuwa mdogo ? sikuwa najali  shida wala raha ? nilikuwa nategemea wazazi wangu uu ? sasa nimekuwa naona shida nyingi duniani ? aaah kwepuka siwezi ? aah kwepuka siwezi ii ? sina lakufanya binti wa Igogo ??? 

??………..usinicheke eeh usinitete ? ndivyo mambo yanavyo enda usinicheke ? leo kwangu kesho kwao ? aaah mwenzangu uu sina lakusema, sina lakufanya msingi ni kazi iii ???

??? kazi ni uhai kwa kila binadamu ooo mama aa ? toka enzi na enzi ya mababu zetu ooo jamani iii ? hata Baba Mungu pia aliumba dunia, binadamu, na viumbe vingine alifanya kazi iii ???….

??? be blessed Blessing!

“These are the women I tell my spiritual sons to avoid”

1. The unbeliever. I reminded women that the Bible is absolutely clear on this point: Christians should not marry unbelievers. Second Corinthians 6:14 says, “Do not be bound together with unbelievers; for what partnership have righteousness and lawlessness, or what fellowship has light with darkness?” (NASB). Apart from your decision to follow Christ, marriage is the single most important decision you will ever make. Don’t blow it by ignoring the obvious. You need a wife who loves Jesus more than she loves you. Put spiritual maturity at the top of your list of qualities you want in a wife.

2. The material girl. One young friend of mine was engaged to a girl from a rich family. He saved up money for months to buy a ring, but when he proposed she told him he needed to go back to the jewelry store to buy a bigger diamond. She pushed her fiance to go into debt for a ring that fit her expectations. She wanted a Tiffany’s lifestyle on his Wal-Mart budget. I warned my friend that he was stepping into serious trouble. Unless you want to live in debt for the rest of your life, do not marry a girl who has dollar signs in her eyes and eight credit cards in her Gucci purse.

3. The diva. Some macho guys like to throw their weight around and pretend they are superior to women. Divas are the female version of this nightmare. They think the world revolves around them, and they don’t think twice about hurting somebody else to prove their point. Their words are harsh and their finger-snapping demands are unreasonable. Some of these women might end up in leadership positions at church, but don’t be fooled by their super-spiritual talk. Real leaders are humble. If you don’t see Christlike humility in the woman you are dating, back away from her and keep looking.

4. The Delilah. Remember Samson? He was anointed by God with superhuman strength, but he lost his power when a seductive woman figured out his secret and gave her man the world’s most famous haircut. Like Delilah, a woman who hasn’t yielded her sexuality to God will blind you with her charms, break your heart and snip your anointing off. If the “Christian” woman you met at church dresses provocatively, flirts with other guys, posts sexually inappropriate comments on Facebook or tells you she’s OK with sex before marriage, get out of that relationship before she traps you.

5. The contentious woman. A young man told me recently that he dated a girl who had serious resentment in her heart because of past hurts. “Before I would propose, I told my fiancee she had to deal with this,” he explained. “It would have been a deal-breaker, but there was a powerful breakthrough and now we are engaged.” This guy realized that unresolved bitterness can ruin a marriage. Proverbs 21:9 says, “It is better to live in a corner of a roof than in a house shared with a contentious woman.” If the woman you are dating is seething with anger and unforgiveness, your life together will be ruined by arguing, door-slamming and endless drama. Insist that she get prayer and counseling.

6. The controller. Marriage is a 50/50 partnership, and the only way it works is when both husband and wife practice mutual submission according to Ephesians 5:21. Just as some guys think they can run a marriage like a dictatorship, some women try to manipulate decisions to get their way. This is why premarital counseling is so important! You don’t want to wait until you’ve been married for two weeks to find out that your wife doesn’t trust you and wants to call all the shots.

7. The mama’s girl. It’s normal for a new wife to call her mom regularly for advice and support. It is not normal for her to talk to her mother five times a day about every detail of her marriage, including her sex life. That’s weird. Yet I have counseled guys whose wives allowed their mothers (or fathers) total control of their marriages. Genesis 2:24 says a man is to leave his parents and cleave to his wife. Parents should stay in the background of their children’s marriages. If your girlfriend hasn’t cut the apron strings, proceed with caution.

8. The addict. So many people in the church today have not been properly discipled. Many still struggle with various types of addictions—to alcohol, illegal drugs, prescription medicines or pornography—either because we don’t confront these sins from the pulpit or we don’t offer enough compassionate support to strugglers. Jesus can completely set a person free from these habits, but you don’t want to wait until you’re married to find out your wife isn’t sober. You may still be called to be married, but it is not wise to tie the knot until your girlfriend faces her issues head-on.

Your best rule to follow in choosing a wife is found in Proverbs 31:30: “Charm is deceitful and beauty is vain, but a woman who fears the Lord, she shall be praised.” Look past the outward qualities that the world says are important, and look at the heart.

Credit to: charismamag.com

Little Advice for happy marriage

Here’s  a little advice to all who want long, happy marriages. create a work formula on decision-making! And because you are a man; the head of the house, take a decision on a bigger issues whereas your wife decides on a smaller issues.  Do not interfere in each other’s decisions! Smaller issues like how many kids to have, the neighborhood to live in, which car you should buy, how much money to save, who, when, and where to visit. What sofa,  cooker, refrigerator to buy. Monthly expenses, whether to keep a maid or not, where to go for holidays, whose mom you should visit etc, etc  should be decided by your wife. Just a gree to it.

….. your decisions are only for very big issues like whether American should attack Iran, the uranium enrichment in North Korea, whether Britain should lift sanctions against Zimbabwe, how to fully exploit  Africa’s economic and intellectual potential, whether KDF should leave Somalia, whether Arsenal needs to buy new players or change their coach, etc, etc. Your wife will never object to any of these decisions and you will live happily!

07f36d034c256156af62547cfc22ce815f8

Credit: unknown

The Lawyers themselves!

IMG-20160210-WA0005Mtu na cousin-sister wake ?  The Lawyers themselves! Naona Honorable, Madam Judge, Dr. Modesta Opiyo Makopolo (kulia) alimtembele kazini kwake binamu yake Advocate Janeth O.O Igogo (kushoto). Pendeza sana. IMG-20160210-WA0004Pendeza sana wanasheria wa Sir. Otty Igogo

Hot shot of the day

FB_IMG_1454939138759Raha sanaaaaaa! uzuri na utamu wa inchi yetu. Hapa ni Iringa, na huyu ni rafiki yangu yule alikuwa analia kusikia mvua inapiga kelele ??? kama ulipitwa na hiyo simulizi  basi bonyeza hapa FB_IMG_1454939127883mazingira haya yananikumbusha kwa bibi yangu (R.I.P), kitu organic kuanzia udongo, mbolea, hadi mbegu. Basi hapo unga wake wa dona unakuwa mtamuuu halafu upate na kuku wa kienyeji wa  kuchemshwa bila viungo  (spices), na mchicha au sukumawiki  aaaah! Acha tuu! FB_IMG_1454939175331Nice! Asante sana Prisca kwa picha nzuri sana. Ubarikiwe.

Kutoka Facebook

received_10207244734788274Nimependa sana hii picha ya mama Neema, Neema, shemeji yetu, na cute little baby. Wamependeza sana… ………mama Neema inaelekea enzi za usichana wake alikuwa mrembo kweli kweli. She has amazing natural beauty!! Even at this age you can still see it ??

The Huckins

FB_IMG_1454939606925-1Beautiful pic of Mr and Mrs Huckins. Pendeza sana.  Blessed always!

Dada na shemeji

FB_IMG_1454940114786Dada yangu kipenzi na shemeji yangu. Pendeza sana. Mbarikiwe mno.

Life is a myth!

Screenshot_2016-02-06-06-22-22-1Credit to Mambobiad.

A word of wisdom

FB_IMG_1454804528220MI0003146038-1R.I.P Bob!

Jumaa Mubarak

FB_IMG_1454704827053-1Jumaa Mubarak kwa wasomaji wangu wote, muwe na weekend njema sana. Pia nawatakieni maandalizi mema na Sabato njema kwa Wasabato wote ulimwenguni. Mbarikiwe wote ❤❤❤……..Pichani ni schoolmate na rafiki yangu Maimuna kutoka Bongoland. 

Hot shot of the day

FB_IMG_1454704656570Wow! That’s my gorgeous mtani! Smart, beautiful lady with amazing soul from Bukoba land ?? it’s very rare to find a lady like her in Haya’s land, wondering where are my smart Luo brothers?! Can’t they see this!!…..busy chasing stones while diamond ipo kwa “back yard” ??. ………..love you much my mtani ❤❤❤