Continue to R.I.P Dr. Maya Angelou ❤
Share this:
- Share on X (Opens in new window) X
- Share on Tumblr (Opens in new window) Tumblr
- Share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Share on LinkedIn (Opens in new window) LinkedIn
- Share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Share on Pinterest (Opens in new window) Pinterest
- Share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Share on Reddit (Opens in new window) Reddit
- Print (Opens in new window) Print
The man himself! Muddy a.k.a #88 all the way from Maryland! Looking hotter like Denzel Washington ? (Denzel is my future husband ?? I know ain’t gonna happen but not giving-up yet ??)
okay! My fellow “single ladies” I know this ‘chocolate candy bar’ is ♨ ? but hold-on! Back-it-Off please! He’s a juvenile! Just look with some extra cautions ?? oh! Did I mentioned he is a grandson of one of the richest businessmen in Tanzania ?? yes! He’s Mwita Gachuma’s grandson??
Mama wa jeshi la mutu tatu lakini leo naona yupo na jeshi moja ? mpendeza sana. Mbarikiwe wote .
Let us all come together and pray for our brothers and sisters in Burundi!
They have Civil Political war going on right now, many has die but surprisingly too little help has been given! Many of us believe and have faith in God; let’s pure of humble prayers to God so things can go back to normal or the help needed can be sent right bout now ?

Jamani huyu Kichuna Cha Kizaramo ni mkariiiiii ♨♨ Yani amekamilika idara zote, uchumi, afya, na jamii ?? Angalia apa alikuwa anaandalia familia yake Thanksgiving ???hivyo idara ya afya anaikabili sawasawa . Nguo aliyovaa kashona mwenyewe???yani product ya LB collection hiyo mambo ya ??napo amekamilika ?? tatizo ni matumizi yeye anasema Wazaramo na party ni kitu iko kwa damu ?? anyway na mambo ya kijamii si mnajua yeye ni ? mama mwenye familia napia ni mwanaharakati wa mambo ya siasa✌✌??? kwakweli hii Kichuna Cha Kizaramu ni ? O’deal woman?
Ubarikiwe sana Kichuna Cha Kizaramo ?

Leo kutoka Facebook nimependa sana hii picha ya childhood friend and schoolmate wangu Furaha. Kilicho nichekesha ni haya maneno ambayo aliambatanisha na hii picha ? “Kuna MTU aliniambia hiviii “kila picha wewe unapost sura tu… Miguu wewe huna?!!!”…??? hiyo hapo Tena midhuriiii?? au unataka uone na goti kabisa? Hahahaha No way..???? Likizo njema bandugu.. Tuombeane heri tuumalize mwaka salama.. Amina…” ?
The lawyer himself! Advocate Richard MacPio a.k.a Richard Mac Polo ? Kijana yake na “Kidatu” jaturi ? sasa naona boss kesha nyolewa na mzee #HapaKaziTu vipi nawe tuanze kutia maji kwenye kipara hicho au ?? looking good cousin!
Blessing na dady ake ? naona Blessing alikuwa anapelekwa kuogelea. Yani kama kuna kitu unataka umfurahishe Blessing basi wewe mweke karibu na maji tena yabaridi ndio furaha yake ?………..mbarikiwe sana

wow! Linda Bezuidenhout a.k.a Kichuna Cha Kizaramo mzurije sasa ? huyu lazima aliumwa siku ya kwanza ya juma, pale Mungu alipokuwa ametoka kwenye mapumziko ya Sabato ?? simply gorgeous ?
Muwe na wiki njema wapendwa! Msisahau kujiunga na Halotel. Kwawale ambao mmeshajiunga basi msisahau ku share hii habari njema nawalio kuzunguka ?
Like mother like daughter! Dr. Victoria Kisyombe and her beloved daughter Dr. Nai Kisyombe Kipuyo. So beautiful! Hongereni sana!
Linda Bezuidenhout na binti yake Brenda Bezuidenhout. Wamependeza sanaaaaaa! Nikipata muda nitawaletea collection ya nguo anazo buni na kushona mtoto mwingine wa Linda. Hapa wote wawili wamevaa LB Winter Collection. Nimesema ni za LB hivyo inamaana zimeshonwa na Linda mwenyewe. Mbarikiwe sana…………..Pia Nikipata nafasi nitawaletea 2015- LB Winter Collection
Naomba tumpongeze msomi wetu aliye hitimu mafunzo yake na kuvikwa taji la MBBS (2015) siku ya Ijumaa kutoka International Medical, and Technological University. Jamani nimeshindwa kuitafsiri hiyo degree yote ila najua ni Masters degree katika medical ? hongera sana Dr. Nai Kisyombe Kipuyo, beauty and brain must go together! Yani inapendeza zaidi!
Nimeona niweke evidence kabisa ☝? maana sikuhizi hata “waganga wa kienyeji” wanajiita madaktari ? haya kisome mwenyewe. ??
Hapa ni mzee mwenye mali zake ? Mr Kipuyo, Dr. Nai Kisyombe Kipuyo na mama mzaa chema Dr. Victoria Kisyombe! Safi sanaaaaaa! Hongera mama mzaa chemo kazi nzuri umefanya. Pia hongera shemeji yetu kwa support kwa mdogo wetu.
Mtu na mdogo! The lawyers themselves! wakiwa kwenye min vacay in Turkey. Mbarikiwe wapendwa
This is hottt! Mstahafu Rais BWM na Mbunge wa East Africa dada yetu ShyRose Bhanji. Mambo ya “selfie” hayo. Wamependeza sanaaaaaa!
Hello daughters of Kenyata! Looking sharp! Be blessed always!
Hahahahaha! hawa ni my niece and nephew Essy and Evin watoto wa mdogo wangu. Hawa ni half-cast wa Kitanzania na Kikenya. Jana ilikuwa Independence Day ya Kenya. Naomba niseme Happy Uhuru Day to all Kenyans around the world!