Kichuna cha Kizaramo katika ubora wake!

FB_IMG_1450315357814Jamani huyu Kichuna Cha Kizaramo ni mkariiiiii ♨♨ Yani amekamilika idara zote, uchumi, afya, na jamii ?? Angalia apa alikuwa anaandalia familia yake Thanksgiving ???hivyo idara ya afya anaikabili sawasawa . Nguo aliyovaa kashona mwenyewe???yani product ya LB collection hiyo mambo ya ??napo amekamilika ?? tatizo ni matumizi yeye anasema Wazaramo na party ni kitu iko kwa damu ?? anyway na mambo ya kijamii si mnajua yeye ni ? mama mwenye familia napia ni mwanaharakati wa mambo ya siasa✌✌??? kwakweli hii Kichuna Cha Kizaramu ni ? O’deal woman?FB_IMG_1450315338320Ubarikiwe sana Kichuna Cha Kizaramo ?

Leave a Reply