Hongera Dr. Nai Kisyombe Kipuyo

FB_IMG_1449969631778-2Naomba tumpongeze  msomi wetu aliye hitimu mafunzo yake na kuvikwa taji la MBBS (2015) siku ya Ijumaa kutoka International Medical, and Technological University.  Jamani nimeshindwa kuitafsiri hiyo degree yote ila najua ni Masters degree katika medical ? hongera sana Dr. Nai Kisyombe Kipuyo, beauty and brain must go together! Yani inapendeza zaidi! FB_IMG_1449969621893 Nimeona niweke evidence kabisa ☝? maana sikuhizi hata “waganga wa kienyeji” wanajiita madaktari ? haya kisome mwenyewe. ??  FB_IMG_1449969654287-1Hapa ni mzee mwenye mali zake ? Mr Kipuyo, Dr. Nai Kisyombe Kipuyo na mama mzaa chema Dr. Victoria Kisyombe! Safi sanaaaaaa! Hongera mama mzaa chemo kazi nzuri umefanya. Pia hongera shemeji yetu kwa support kwa mdogo wetu.

Leave a Reply