Kutoka Facebook

FB_IMG_1450211342940-1Leo kutoka Facebook nimependa sana hii picha ya childhood friend and schoolmate wangu Furaha. Kilicho nichekesha ni haya maneno ambayo aliambatanisha na hii picha ?  “Kuna MTU aliniambia hiviii “kila picha wewe unapost sura tu… Miguu wewe huna?!!!”…??? hiyo hapo Tena midhuriiii?? au unataka uone  na goti kabisa? Hahahaha No way..???? Likizo njema bandugu.. Tuombeane heri  tuumalize mwaka salama.. Amina…”  ?

Yani ninecheka sana!……….Ubarikiwe mpendwa 

2 thoughts on “Kutoka Facebook”

  1. Thanks my friend Alpha Igogo… ?????? Yaani unanikumbusha enzi zetu za keko juu… thanks once again girlfriend…

Leave a Reply