Category Archives: Fashion and Cosmetic

Mama na baba wa 8020Fashion blog katika ubora wao! #ZezeTV

Sasa sikiliza, niliona hii short video kwenye Instagram  ya Shamimu Mwasha kuhusu kwanini wanawake  hatuna ujasiri wa kutongoza wanaume? Yani hata kama umemuona mwanaume unaye mpenda huwezi kumtokea na kumwambia?? embu msikilize ??
Basi nikaona kuwa video ni fupi nikasema ngoja niende YouTube nitafute labda nitapata yenye full length! Too bad sijapata lakini nikakutana na hii video nyingine ambayo mama wa Zeze TV akitengenezwa nywele na mumewe Abdul Nsembo! Embu itizame kwanza ??

Jamani si wamependeza eeh! Halafu eti Shamimu kamuitaje mumewe?? Mie nimejaribu kurudia mara kadhaa lakini sijamuelewa ??.........Nani alikwambia wakaka wa Kibongo hawajui kupenda?! Wapo wanaojua kupenda kwa dhati kabisa simnamuona Dr. Mengi na Jackie wake, na sasa Zeze na Abdul, haya subirini na mimi na Muhaya wangu mtakoma wenyewe ?? Sasa hivi bado tunajifunza mapozi ya picha na kuongea simnajua lazima nitoe hii accent ya Kijaluo ???
Anyway, nice video mama ZezeTV. Ninejifunza kitu fulani juu ya nywele fupi za twist, kazi yake yataka moyo kwakweli! Maana vitu vilivyopakwa humo si mchezo! Lakini naipenda sana, Shamimu huwa anapendeza sana na hizo nywele......halafu you got really beautiful voice! ❤

 

Vote! Vote! Vote!……Piga kura tafadhali!!

Foster Collection

Mwavionaje viwalo hivyo?!,Kwakweli vimekwenda shule sana! Mimi nimevipenda vyote japo naona hiyo ya yellow imevutia macho yangu zaidi!……Haya basi viangalie vizuri nawe uige kupendeza kama Foster. Halafu, siyo tu unashangaa picha hapana! Piga “chabo” kwenye mambo ya bustani ili ujifunze kitu, pia mambo ya upambaji na mpangilio wa nyumba. Pamoja na urembo wa mwili!…..soon nitawaambia ni wapi Foster huwa anakwenda kusafishwa na kufanyiwa massage ! Si unajua yale mambo ya SPA? Muhimu kwa mwili!

Tafadhali, embu m-follow Miss Universe wetu please!

Wapendwa wasomaji wangu, mmemuona mrembo wetu?! Miss Universe-Tz 2017!! Si mnamuona anavyo lipa? Je, ume m-follow?! Kwanini bado?! Basi mpendwa fanya hima m-follow leo kich weka comments nzuri za kumtia moyo japo “number don’t lie” she is doing great! Please let support our very own Jihan Dimack!………Soon nitakuja na maelezo ya jinsi ya kumpigia kura! Asanteni!

Womanhood

fb_img_1482029214277Our mrembo Jokate Mwegelo look great as always! She got the look, brain, and big heart! Simply beautiful!screenshot_2016-12-17-20-38-19-1Nimependa sana hii nguo japo amekaa. It looks great and the color is beautiful!

Womanhood!

screenshot_2016-12-05-20-47-32-1-1 screenshot_2016-12-05-20-46-01-1-1 screenshot_2016-12-05-20-45-15-1-1 screenshot_2016-12-05-20-29-48-1 screenshot_2016-12-05-20-29-57-1 screenshot_2016-12-05-10-12-38-1

Picha nilizopenda siku ya leo

screenshot_2016-10-30-15-22-16-1 Mrembo wetu Hoyce Temu alipokuwa Mwanza kwenye mashindano ya Miss Tanzania 2016. Hoyce alivaa nguo ya mbunifu wa kimataifa Linda Bezuidenhout (LB)! Safi sanascreenshot_2016-10-29-20-48-27-1Mwamvita Makamba……….looking beautiful as usual nimependa sana muonekano wakefb_img_1477869233471 Jokate katika ubora wake!……..looking fab!fb_img_1477847251626Jackline kapendeza sana! Nimependa the dress imemkaa vizuri sana

Hongera Miss Tanzania 2016, Diana E. Lukumai

screenshot_2016-10-30-11-41-08-1Hongera sana Miss Tanzania 2016, Diana E. Lukumai…….uwende ukatuwakilishe vyema huko! Hongera pia kwa washiriki wote! screenshot_2016-10-30-12-04-19-1Jokate a.k.a Kidoti katika ubora wake! Kapendeza sana ?? screenshot_2016-10-30-11-57-37-1Former Miss Tanzania, Hoyce Temu and the newly Miss Tanzania 2016……. Looking great!

Picha niliyo penda siku ya leo

screenshot_2016-10-23-11-31-10-1Too pretty! Japo kidogo nywele sijapenda sana rangi yake lakini bado she nailed it ??

The faces!

screenshot_2016-10-18-22-37-18-1HoyceTemu: kapendeza sana na natural look. Napenda sana watu wanaoweza kupaka makeup ya wastani na wakapendeza bila kupoteza their natural lookscreenshot_2016-10-18-22-39-22-1Wema Sepetu: Nimependa sana nywele zake na makeup imemkaa vizuri yani kawa natural. Nafikiri hii nguo za Blue color huwa zinamvuto sana kwa Wema. Nikiangalia picha zake nyingi alizovaa hii color naona ni nzuri zaidi fb_img_1476847660614Jackline Ntuyabaliwe: simple as always. Kapendeza sana

:Just noticed kumbe hawa wote walikuwaga Miss Tanzania at one point ??

Honoring breast cancer month!

screenshot_2016-10-17-13-02-48-1that dress is wow! Inajimwaga vizuri kweli fb_img_1476728686019Too cute, this is a must have dress!…. Still making my list siku nikishuka ATL whoa! Mbona mtanijua Kuwa Mjaluo yupo ndani ja jiji ?? Ujaluo gharama jama, gotta present my people! ??  fb_img_1476728678511Mungu asaidie madaktari wanaofanya uchunguzi kuhusu ugonjwa huu waweze kujua chanzo chake na tiba yake. Pia nawaombea wale wote wanaougua huu ugonjwa waweze kupona na Kama ni mapenzi ya Mungu basi awape second chance ya kuishi tena ? fb_img_1476728713221Leyla you are too cute!……. Mrembo wetu ni Leyla Makongoro Bezuidenhout. Fashion by LB. Na picha shukran kwa LB

Foster Collection

fb_img_1476207975442 fb_img_1476207930958 fb_img_1476207911036 fb_img_1476207871353 fb_img_1476207860240 fb_img_1476207852852 Hii nguo mtu ukiangalia kwa haraka unaweza usiipende lakini ni bonge la free style! ?fb_img_1476207827158 I love your house too……nice!fb_img_1476207816666 Umenoga sana!
fb_img_1476207809991 fb_img_1476207804008Beautiful!

Jokate Mwegelo #Kidoti katika ubora wake

fb_img_1476066247752Siyo kwa uzuri huu young lady! Too pretty! Nguo imekupendeza sana!!
fb_img_1476066242656yap! Confidence is everything!……….jamani mali ya Kiba hii sitaki kesi mie ??

Hongera sana Jokate!……#MsusiWao

screenshot_2016-09-27-23-21-17-1Ndoto yetu ni kuona wasusi Tanzania wanakuwa na umoja wao wakifanya vitu vikubwa zaidi. Wawe na kiwanda chao, tovuti yao, wapendane, wasusi wasiokuwa na maeneo rasmi wadau mbalimbali tuwasaidie wawe na eneo la kutumia ujuzi wao kupata utajiri wa maisha. Msusi wao ni jukwaa la kuwaunganisha na kuwakumbusha kuwa wana thamani na lazima wajithamini, wasijichukulie poa. Twende sasa ?? #MsusiWao #UjuziWakoAjiraYako

fb_img_1475077308914fb_img_1472436063790Embu tumuunge mkono mrembo wetu! Jamani si inapendeza sana kuona binti mrembo kama Jokate anajitambua namna hii?! Anakuja na mawazo chanya ya kuendeleza sector za ajira zisizo rasmi! Kwakweli anahitaji pongezi na ushirikiano wa hali ya juu!……….Wewe mwenzangu unaye lalamika kila siku kuhusu mambo yalivyo ndani ya nchi je wewe umefanya nini au unafanya nini kuendeleza nchi yako?! Tafakari chukua hatua!…………Usisahau kununua ticket yako ?screenshot_2016-09-28-10-42-18-1