Category Archives: Just for funny

Embu tucheke kidogo na Fred Omondi

Don’t play with Otienos’Β  siyo watu wa spoti spoti eeh πŸ˜‚πŸ˜‚ unajua baba yangu his first name ni Otieno, the dreams he described utafikiri anamuongelea yeye πŸ™ˆπŸ™ˆ na huyo mwanamke mwenye dream yakuwa “OW” A.K.A “Otieno’s wife” ni shida! But kuna wanawake wa hivyo ambao wanakwenda shule nia yao kulewa na madokta, professos, au wafanya biashara wakubwa!……… So funny!

Cheka urefushe maisha yako!

 "Karibu uraiani Sanjay πŸ™ŒπŸ½ (Ni hali tu wote tutayapitia nitaingia mimi nitoke Sunil Sheti) #SioHabari"

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nacheka siyo kwamba mazuri but the "humor" is so for really! πŸ™ˆπŸ™ˆ Yani huyu Idriss is a true Comedian, mtu ambaye anaweza geuza kitu cha huzuni kuwa chakawaida mpaka kuchekesha, then in the end unabaki unajiuza kwa kina about life! Like kumbe Manji asingekuwa na pesa ndefu ni mkaka/baba wa kawaida sana, then unajipa moyo kumbe hata mimi si mbaya "pesa ndio kidogo na matumizi ni mengi" in Akothee Akothee's voice πŸ˜‚πŸ˜‚  huyo ni comedian mzuri sana!

Embu tucheke kidogo na Shilole!

Shilole anaomba Kevin Hart amsaidie kuelewa nini anakisema kwani yeye anajua “Yuston” alisha kufa sasa hizo ;ela za nini? Na anataja celebrities mbona na yeye ni celebrity toka East Africa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, Shilole you killed it πŸ™Œ Β kidogo kidogo utaelewa tu mama! Lol!……….alichokisema Kevin Hart ni hiki πŸ‘‡

“I love & appreciate you all for your support. @therock @nickiminaj @chrisbrownofficial @troubleman31 “The Kardashian Family” @kandi @wendyshow @djkhaled @cp3 & Chain Smokers and everyone else that has donated. Let’s all keep Houston as well as the surrounding cities that are being affected in our prayers. πŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ”

Cheka urefushe maisha yako!

Embu tucheke kidogo, wahenga walisema ‘simtukane Mamba kabla huja vuka mto’! Sasa wenzetu wana msemo mmoja ambao maana yake ni kuwa usimcheke mtu kwa hali yake aliyokuwa nayo leo maana huwenda wewe ukawa ndio yeye huko mbeleni! ….Sasa mtu ameamua kumcheka Bill Gates ili nayeye aje kuwa kama yeye siku za usoni πŸ™ˆπŸ™ˆ …..Ngachoka mie!

Cheka urefushe maisha yako

Embu tucheke kidogo maana nimuda kidogo tangu tucheke πŸ˜†πŸ˜† katika tembea tembea yangu huko Instagram nikaenda kuchungulia kwa Idriss Sultan nikakutana na hii video ambayo nikahuzunika kumuona huyo mtoto anayumba yumba kabla ya kudumbukia kwa swimming pool! Lakini ghafla nikajikuta nacheka baada ya kisoma #Caption ambayo Idriss ameiweka sambamba na hii video πŸ˜‚πŸ˜‚ embu isome hapo chini maaana naona mimi kama kanigusa vile πŸ™ˆπŸ™ˆ

"Mtag mshkaji wako ambaye unahisi maisha yake yanaenda kama huyo mwenye blue 🀣🀣🀣"~~~~~~~Idriss Sultan

Cheka urefushe maisha yako!

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Β Hivi huyu Idriss kichwani mwake zimo kweli au zilisha hama? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Can't stop laughing.........., sasa hapo ndio sikio lake limekaribia kufa anajaribu kulifufua na dawa au ndio limesha kufa halisikii dawa πŸ™ˆπŸ™ˆ Β so funny!

Cheka urefushe maisha yako….. #No romance without finance

Β Eti wataalamu wanasema hivi, msichana anapo muuliza mwanaume kuhusu namna anavyo endesha maisha yake kiuchumi haimfanyi kuwa mwanamke mwenye tamaa au kupenda makuu, hapana! Huyo ni mwanamke mwenye akili nzuri / timamu! Kwani hata wao wanaume wasingependa kuona binti zao wanaolewa na wanaume Mburulaz πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Yakwamba wanatakiwa wawajali wanawake wengine kama ambavyo wangependa mabinti zao watendewe na wanaume wengine! Hakuna pesa hakuna mahaba πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ kuna topic nyingine kasema kama mwanaume hawezi kumudu kununua pete ya ndoa basi huyo mwanaume hawezi imudu ndoa achana naye πŸ™†πŸ™†πŸ™† Β ee shughuli pevu maana mie nimempenda mmeba mabox mwenzangu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Duh! Mapenzi ya mwendo kasi yana kazi kweli! >>>>>>> "She's not a gold digger for wanting to know how you make your living. She's smart! You wouldn't want your daughter to marry a BROKE man either. Fellas!!! Do unto other women as you would have other men do unto your daughter(s). πŸ‘ŒπŸΎ No romance without finance. πŸ˜‰" AskcheyB

Cheka urefushe maisha yako!

Idriss kapinda kweli kweli πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kwahiyo hiyo ndio tafauti ya “Statue of Liberty” ya America / Hollywood ma Africa πŸ™†πŸ™†πŸ™†…….he is so funny! Happy Independence Day Africans oops! I mean Americans πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Cheka urefushe maisha yako: #LookingForAWifeToHire

β€œI am looking for a wife to hire, my family from ushago are visiting me, they think am married because I have been cheating them ……this woman must be 7 months pregnant. She will stay up to Tuesday when they leave. I think 25K is enough for 4 days.”

Majibu ya waombaji:

Sheila Githaiga:Β Uko wapi exactly tufanye hii biashara……sina mimba lakini niko na kitambi inakaa mimba

Christiane Christina: Nikisema hii maneno ni tricky sanaΒ 

Katarina Karatu then and now!

Kweli Β Akothee Akothee alisema ukweli kuwa “We are not ugly, mapato ndio kidogo na mahitaji ni mengi” soma Β πŸ‘‰πŸ‘‰ WeAreNotUgly …… Β Tazama jinsi Katarina anavyo ng’ara sasa! Yani tofauti sana na alivyokuwa wakati anapesa za “kubangaiza” yani pesa zisizo kuwa na huwakika! Ni mrembo wa kuzaliwa lakini makeup imemuongezea mvuto zaidi! Alijisemea Chris Rock kuwa “Money is the best lotion ever”! Nahapa tunapata kuthibitisha LIVE! Kapendeza sana! πŸ’ͺ❀

Are they allowed to date?

The O.O Igogo’s daughters! #Sisterhood

Nimekutana na hii topic huko kwa Instagram as usual huko ndipo vituko vyote vipo πŸ˜†……..Sasa swali ni kwamba; eti umemkaribisha rafiki yako ukamtambulisha kwa ndugu yako halafu wakapendana, je ni sawa hiyo na ungefanyaje? Binafsi sipendi kabisa! Hila sina huwakika kama ni sawa au si sawa japo hii tabia ipo sana Ujaluoni! Yani unaweza kukutana familia imeoa / kuolewa Β kwenye mji mmoja. Naposema mji mmoja namaanisha familia ya baba na mama mmoja au baba mkubwa na mdogo. Utakuta dada na mdogo wake wameolewa kwenye familia moja. Β Sasa hao wanaoowa kwenye ukoo mmoja ndio usiseme nikitu cha kawaida sana!………..Tatizo kubwa ambalo naliona hapa ni kama ukoo /familia ina magonjwa ya kurithi basi kuna uwezekano mkubwa wa watoto wenu wote wakarithi hayo magonjwa! Otherwise, mmh! Ila wanasemaga “mapenzi hayana macho”! Hata hivyo huo usemi mie sina huwakika nao kwani macho yangu yamemuona Muhaya πŸ˜…πŸ˜…………..Β 

Cheka urefushe maisha yako!

Eti na wewe unajiita Mwanaume,Mwanaume kumnunulia Zawadi mwanamke wako ni mpaka uone Valentine’s Day imekaribia ndio unajishaua na Shopping ili kusafisha nyota. Nani aliyekwambia Usela unalipa kwenye Mapenzi?? Unahisi ukimnunulia Zawadi na kumuonyesha unampenda utaonekana Bwege, Kuna kosa gani kuwa bwege kwa mtu unayempenda?? Hata wanafiki wakisema umeshikwa waambie NDIO NIMESHIKWA NIMESHIKAMANA!Β 
Make your Woman Smile……..Wala huna haja ya kutumia fedha nyingi kwenye Shopping za Mariedo. Ukiona kitu kizuri Karume NUNUA Mpelekee. Ukiona Gauni zuri Posta NUNUA mpelekee. Hamna kitu kizuri Wanawake wanapenda kama ZAWADI, hata kama umenunua JERO mtumbani, ile Feeling kwamba Ulipokiona ULIMKUMBUKA YEYE inampa impression kwamba She is On ur Mind na hilo ndo wanawake wanataka……..
Surprise her pale asipotarajia. Mpigie Simu aje, akifika una Parcel ya Saa nzuri. Utapendwa hadi ushangae……..Hawa watu wanaitwa mafataki hakuna Miujiza yoyote wanayofanya kumuiba mwanamke wako zaidi ya hii. Wanajua Wanawake wanapenda nini na wanawapa hicho. Wewe jifanye Msela halafu Mafataki wakufundishe Caring ni nini. USione Couple zinadumu ukajua jamaa anatumia heeelaaaa nyiiiiingi, walaaa…….Mijisapraiz tu,mwanamke anajiona Malkia masaa 24. Sio kila Limbwata imetengenezwa na Mganga wa Kienyeji,Ukitumia Akili tu sometimes ni Limbwata tosha.

Credit to #ChekaUsipasuke

Cheka urefushe maisha!!

This is so true! Kuna maisha zaidi ya kuolewa enjoy life ladies! Kama wewe ni mama furahia uzazi wako fanya kumbukumbu nzuri na wanao hata siku ukiondoka hapa duniani wawe na kitu cha kuelezea jamii. Kama huna mtoto basi fuga hata mbwa / paka uwalee. Au tafuta kitu ambacho kina leta furaha na amani moyoni mwako ukifanye kwa nguvu zote. Tusiwe kama wakati wa Noah ambapo watu walikuwa busy na kula, kulewa, kuolewa na kuoa hata pale walipokuwa wakihubiriwa injili ya wakovu hawakusikia kabisa! Btw, hata Boaz alimkuta Ruth akiwa busy shambani akampenda na kumfanya malkia wake wa nguvu πŸ˜€πŸ˜€ Β Get a life!

Family Feud: The Akothee Akothee’s family!

Kama mnavyo jua hii blog nilianzisha haswa kwa ajili ya ku-share furaha, mafanikio, changamoto, mahusiano (kati ya wazazi na watoto, wapenzi, marafiki) na njia za kutatua matatizo yetu ndani ya familia na nje ya familia! It’s all about inspirational stories and pictures / videos from our very own families, friends, and so forth! Mengine ni nyongeza tu!……..Basi jana nikiwa natazama Facebook yangu nikakutana na huu ugomvi kutoka kwa mwanamuziki mashuhuli kutoka nchini Kenya ajulikanaye kama #Akothee Akothee, nikasema ngoja ni share nanyi kwani unaweza fikiria kuwa ndugu wa “ajabu ajabu” wapo tu ndani ya familia yenu lakini ukweli watu wa namna hii au vituko vya namna hii vipo katika kila familia yenye UHAI! ………Angalia neno #uhai nimeandika kwa herufiΒ kubwa hiyo ni kuonyesha msisitizo! Yani ninacho maanishi ni kwamba kitu chochote chenye uhai lazima kitakutana na changamoto mbalimbali ili kiendelee kuishi! Changamoto hizo zingine zaweza kuwa nzuri nyingine sinzuri lakini the bottom line kuwa utakutana nazo, and how you solve them hiyo ni juu yako wewe uliye vaa hicho kiatu kwani wewe ndio unajua ni wapi kinakubana!…….Haya enjoy the “drama” πŸ™‚ πŸ™‚ Β 

“POLITICS HAVE KILLED ME
one of my very close cousins , who I thought we love each other , came to me & told me that he is stuck with school fee for his daughter & he needs only 50k to enroll his daughter in form one , I gave him the money in a white envelope on a Friday , our first born brother drove him home , & on a Sunday! I recieved a call from home that he just declared that he wants to go for the same seat of mca that my mum is holding , & he used my money to buy people from my village to disgrace my mum , who has been there for the community , I had park afew of my cars in his office as I was looking for an office in Nairobi , when I came to pick the cars, they were already taken as a collateral, as they had not paid rent for months ,remember he wanted me to take over the office but I was too smart , remember he is the same causin I gave the contract to build my mums house, the battle is on , please be carefull of those who kiss you on the forest head & kiss you frequently! I have forgiven you I SAW YOUR SEVERAL CALLS BUT PLEASE! I HAD TO THROW AWAY THE PHONE TOGETHER WITH THE SIM CARD , GOD BLESS YOU IN YOUR FUTURE PLANS
I SHARE BECAUSE I CARE”Β Anyway, in the end always mshukuru Mungu kwa kila jambo. Kama ni Mkristu utaenda zako kanisani kusali na kutoa sadaka ya kushukuru kama unavyo mwona Akothee hapo na watoto zake akienda nao kanisani πŸ˜†πŸ˜† Basi na kama wewe ni Muslim utaenda Msikitini kuswali, na kama wewe ni mpagani basi utajijua wewe na mashetani yako πŸ™„πŸ™„…….

**Undugu ni gharama ambayo haiepukiki**