Embu tucheke kidogo!

Nimecheka lakini wakati huo huo nikaona Kama vile wanawake wanatuone! Kwani Kuna wanaume wangapi amabo Ni maboya kabisa, Yani hata akili za kupewa hazipandi lakini unamkuta kutwa kuutambia kofia za Gucci, LV  na brand nyingone  ambazo Ni za ghali au unamkuta anavaa viatu expensive wakati akivua hiyo harifu ya miguu mwenye mimba change anaweza kwenda leba kwa harufu tu ??? anyway, its a joke but not fear! #Umaridadi uficha umasikini, just saying ???

Leave a Reply