Kheri ya kutimiza miaka Khamsini ya kuzaliwa kwako mama Diamond!

Miaka Khamsini mama bado unadai kabisaaaa ?? Furaha ya kuzaliwa kwako. Mungu akupe maisha marefu zaidi! Nafurahi kuona siku hizi umejiweka pembeni na mambo ya makelele ya mitandaoni! Safi sana! Kaa kimya hivyo hivyo! Happy Golden birthday mama Nasib! But where is “step dad” at? 50 bado kabisa ??

2 thoughts on “Kheri ya kutimiza miaka Khamsini ya kuzaliwa kwako mama Diamond!”

Leave a Reply