Category Archives: Manhood!

My son enjoying his New Year breakfast!

Yaas! That is my son! Enjoying his New Year breakfast in Nairobi. At age 2 1/2 he got all his table manners in place πŸ‘ŒπŸ‘Œ way to go son! Wasichana itabidi wajipange sana tu! Kama hawakufunzwa ustarabu na mama zao wakwende huko hatuwataki sisi 🀣🀣 We are raising a gentleman right here I hope someone is raising a Queen for him 😍😍  maana Mimi mama mkwe nitamkagua kabla hajaingia ndani ya nyumba ya mwanangu 🀣🀣🀣 chezea mama mkwe wa dotcom!Β Kama tunataka tuondoe unyanjasaji na ukiritimba kwa wanawake inabidi wakina mama muwe teyari kulea vijana wenu katika maadili, na mambo yanayofaa! Na mambo hayo huanzia katika umri huu! Usisubiri akifika sijui miaka 6 that is way too late! Pia watoto wakike muwafunze tabia njema, kujithamini, good touch and bad touch mara tu wanapojua kuongea na kutembea! Usingoje mtoto sijui aote maziwa ndio unaanza "kubwabwaja"!! Kama tunataka ukombozi wa mtoto wa kike na mabadiliko ya tabia za wanaume wa Kiafrika basi wakina mama lazima mkubali kubadilisha tabia ya malezi yale ya kizamani kuwa mtoto wa kiume ni "King" na mtoto wa kike ni "servant"!! Kuwa mtoto wakiume haitaji kupewa malezi yenye maadili ya jinsi ya kuwa kaka, baba, mume, na raia mwema isipokuwa toto wa kike tu! Yeye ndiyo anatakiwe afunzwe kuwa dada mwema, mama mzuri, mke bora, na raia mwema, Β swali linakuja awe mwema kwa nani?!! Mwaume mbakaji? Au mwanaume katili? Au a cold-hearted killer? Au mwanaume mnyanyasaji asiye hata na chembe chembe ya hofu ya Mungu?!! Mothers I'm raising my gentleman because I don't want him to be part of that ugly statistic!!What about you!! .........Happy New Year everybody!

OMg! Huyu ndio yule shemeji yetu walimuita “mission town”!?!

Jamani njooni muone Zamaradi anatenda miujiza!!! Sitaki kuamini kuwa huyu ndie yule shemeji yetu wa taifa aliyeitwa “mission town” na wale Shilawadu (SomaHapa), Eeh! Hata mwezi haujafika tangu waowane teyari Zamaradi kaweza kumbadilisha mission town to “brown sugar” πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Β  You all know that movie “Brown Sugar” right?! Siunaona anataka kufanana na Dre (Taye Diggs) 😍😍😍 shemeji yetu kaogeshwa akatakata, anapendeza na kuvutia hadi raha!! Sasa najua kwanini yule mtu mzima alilia kwa uchungu vile utafikiri alipata taharifa “Professor” kafa πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆΒ  Hongera sana Zamaradi you are a real woman, najua soon tutasikia nayeye anamiliki entertainment media fulani amazing hivi! O’yes! He can πŸ’ͺπŸ’ͺ…….. Mbarikiwe sana

Imbumba Yamadoda: What I am doing for myself I am actually doing it for you! And what you are doing for yourself you also doing for me!

A must watch to all African men!! Hii video niliiona almost two months ago, but nikawa nasubiria a “proper” day kuiweka. Sasa kwakuwa bado tupo kwenye furaha ya maadhimisho ya mtoto wa kike duniani basi nimeona ni vyema kuiweka! Kwakweli huu ni ukweli kabisa! Watoto wa Africa haswa wakike wamewekwa kwenye “pressure” of how to become a good citizens, great mothers, wives, sisters, and aunties bila kujua kuwa it always takes two to tangle!! Unakuta mtoto wa kike very well organized mentally, spiritually,Β  physically, na hata financially lakini anaangukia kwenye mikono ya mwanume asiye jielewa kabisa!! Mnyanyasaji na mambo mengi ambayo yanafanya maisha yao kutokuwa na furaha! A totally unprepared man for familyhood!! Na ukijaribu kuuliza hawa wadada utasikia ma’am! “All men are the same”!! Hivyo hakuwa na chaguo zaidi ya ku settle down for less!! ………Wazazi, waleeni vijana wenu ukijua kuwa kesho atakuwa mume wa mtu, mmoja ya wana jumuiya hivyo lazima awe teyari kuwa good citizen! Kuwa na hela doesn’t make someone a good citizen or good husband tabia yake na malezi ndio vitaeleza huyo kijana wako ni mtu wa namna gani! Nimeona vijana wenye pesa na ni wanyanyasaji wa wanawake mpaka inaogopesha! Wengine ni rapists and molesters! Tuwalee watoto katika njia ipasayo ili wasiwe mzigo kwa wengine na taifa analo ishi ni jukumu lako wewe kama mzazi!

 

Manhood!

The Hayaz! Mashemeji zangu hawa, wanaume wenye vichwa vilivyo tulia wakiongea hata ardhi inatetemeka πŸ™ˆπŸ™ˆ Hawa watakuwa walinyweshwa Uji wa Kijaluo walipokuwa wadogo, hawakupewa wale funza Β (senene) maana akili zao ni Copy& Paste from Luo Land πŸ˜…πŸ˜… #MuhambaNgomaNgoziHuvutiaKwake

Manhood!

Mzee Guka (left) na Mzee William (right)
My baby brothers!! I always count my blessings, but when comes to these two I count TRIPLE Blessings! I got their back, indeed they got mine as well! We are focused on the future and care less the mindless nonsense πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† They are my coworkers and business partners πŸ’ͺπŸ’ͺ I love them more than they can imagine especially when they keep my bank account 'smiling' πŸ™ˆπŸ™ˆ God bless you BwanaPesa Β (right) Β and BwanaMifugo / Mzee wa Mipango (left) πŸ˜πŸ˜˜β€πŸ™

Manhood!

Wow! My brother! Sitaki kuamini kuwa ni wewe lakini kwakua naamini Mungu huwa anatenda miujiza kwa wale wamuaminio basi inanibidi nikubali kuwa ni wewe!! Kweli Mungu hamtupi mja wake! Siye tuliokuwa wote tuliokuona those days ya kupimisha mizani, dah! Hatuna budi kushuhudia ukuu wa Mungu kwani tumeuona mkono wake kupitia familia yenu! Safi sana!Β 
Nabaki najiuliza what if ningekuwa nakudharau wakati hizo? Hivi leo hii ningeweka wapi sura yangu! Maana siku hizo sisi tulikuwa tunaonekana kama moja ya familia inayo jiweza pale mtaani kwetu! Yani Kwa wengine Sisi tulikuwa kama familia ya tajiri fulani! Wow! Mungu atukuzwe kwa wazazi wangu waliotulea kwa kuheshimu na kupenda masikini kwani ya Mungu ni mengi! ......... Asante kwa kutoa support yako kwa hii blog! (BinZubeiry ) Be blessed always!

Manhood!

SEND OFF.. Asante MUNGU!! @jm_international_collection
 Prof. Jay na bestman wake siku ya Send Off party ya mchumba wake. Wamependeza sana! Wapo simple, clean and smart!..........Hongera sana Prof. Jay Mungu akutangulie, atawale ndani ya ndoa yenu!

Step-Dads, Boyfriends and Other REAL Dads Take One For the Team

Bado tupo kwenye moment au mwezi wa kusherekea na kuwaenzi baba zetu! Baba si yule aliye kuzaa na kukubwaga bila kujua nini kinaendelea kwenye maisha yako au hata kama yupo hachukulii swala la malezi yako kama jambo muhimu katika majukumu yake! Ili uwe baba kamili lazima ushiriki katika malezi ya mtoto kwani hayo ndiyo yatakayo mfanya awe kiumbe kilicho kamilika hapa duniani. Mtoto si kumpa pesa tu! Mtoto anatakiwa kufunzwa manners na life values ili aweze kuishi vyema hapa duniani!…….Sasa kuna wanaume wengi ambao wanalea watoto wa wanaume wengine kwa viwango ambavyo huwenda hata baba zao halisi wasingeweza kufanya hivyo lakini inatokea watoto au jamii haitambui mchango wao kitu ambacho kinasikitisha sana! Β Hii article imeandikwa na blogger mmoja aishie Marekani (Sarah Maizes) ambaye ni a single mama na watoto wake kwa 100% wamelela na mwanaume mwingine ambaye si baba yao mzazi. Lakini pamoja na mambo yote anayowafanya bado watoto wake hawaoni umuhimu wake na kumpa heshima yake kama baba!My boyfriend and I have been together for almost 8 years and he has helped me raise all three of my kids. My oldest is 15 and my twins are 12 and he taught each of them how to ride their bikes, how to rollerblade, and assisted each of them in building kick-ass volcanos for Science Lab. He listens to all of their problems, goes to all of their games, and buys them frozen yogurt with extra toppings when they lose. He even talked my son through his first little broken heart. He enforces chores, doles out consequences, and is all-too-often the target of the tweenage, hormone-fueled frustrations that rage under our roof. We’re a team. But, nobody thinks of him as “dad.”Β When my kids’ friends come over to our house they ask, “Is that your dad?” and my kids say “No. That’s just Scott.” Invariably, the friend shrugs and gives a confused wave before moving on down the hall towards the XBox. And you know what? I feel a little bad for him every time they do. Not because they should call him Dad – we both agree they shouldn’t. They already have a dad they see on Sundays and for dinner once a week. But after giving up eight years of his own life to be whined at, puked on and giving up his only chance to have his own kids to raise mine (and somebody else’s) with me, he deserves to be recognized as something more than “just Scott.”

This post comes from the TODAY Parenting Team community, where all members are welcome to post and discuss parenting solutions. Learn more and join us! Because we’re all in this together.

Father and son moment: The Teshas’

Manhood! What an amazing picture of JT and his son! Just lovely!……mbarikiwe sana!

“hardcore truth”!

Hardcore Truth!Β  Huwezi kuoa au kutembea na warembo wote, wanawake wazuri siku zote wataendelea kuwepo, kila siku utakutana nao wapya. jifunze kuwa na adabu (self discpline) pamoja na kujidhibiti (self control).

Chagua mmoja tu, mjenge awe wako, mfanye awe malikia wako! hii itakupunguzia gharama, itakutunzia muda wako, drama pamoja na magonjwa.

Vile vile hakuna medali, tuzo au nishani ya juu ya ushindi wa kuwa na wanawake wengi, bali ni kuzifungia baraka ambazo Mungu anataka kukupa na kujipeleka mwenyewe kaburini mapema. Jiongeze brother!

Busara yangu; A realman sees no other females becoz he only has eyes for his girl!Β Mwl Tweve Hezron.

Manhood!

screenshot_2016-11-25-16-21-33-1 screenshot_2016-11-25-16-01-34-1

Manhood!

fb_img_1480017723731Everyday we’re given an opportunity to make a positive impact on the people and communities that surround us. What was your impact today? // Kila siku tunapewa nafsi ya kufanya jambo lenye matokeo mema kwa watu na kwa jamii zinazotuzunguka. Leo umefanya jambo gani jema? β€”Mo

fb_img_1480017757090Good morning my friends
NAWATAKIA SIKU NJEMA NA BARAKA ZA MUNGU JUU YAKO, WEWE ULIYE NA KAZI FANYA KWA BIDII KWA MAANA WAPO WENGI WANAOITAMANI KAZI KAMA YAKO NA HAWAJAIPATA, NAWE USIYE NA KAZI USIKATE TAMAA ALIYEWAPA WAO BADO HAJABADIRIKA NI YULEYULE NA WEWE ZAMU YAKO ITAFIKA. Nawapenda Sana Rafiki Zangu.

Manhood: ‘Wanyama wa Msimbazi’!

screenshot_2016-10-18-22-46-06-1Those words from Moo Dewji?! Very powerful and uplifting!!

Moodewji

screenshot_2016-09-30-10-51-50-1fb_img_1472436063790The simple things people do that changes the world! To be humble doesn’t make you poor or dumb!! …….. Ubarikiwe siku zote!

 

 

 

Michael Owinos’!

fb_img_1474032563991-1My shemeji is cuter than yours πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆΒ Michael Owino mjaluo mzungu looking so fine! πŸ‘ŒπŸ‘Œ

Mpende akupendaye!

magreth-igogo-20160910_091557Ukishikwa sharti uonyeshe ushirikiano! ………. My wifi Β is cuter than yours! Kaka zangu wanajua chagua LOL!……. nice pic brother!

Manhood!

FB_IMG_1472704127764Zion from Dallas, Texas. ……. looking great! Such a handsome little boy! God bless him!

Manhood: Kareem

FB_IMG_1472062589393Kareem (London), kapendeza sana anaonyesha jinsi gani anavyojiamini kwenye camera! Ameitendea haki camera……!