Kutoka Facebook

FB_IMG_1435717106169Nimependa sana hii picha ya beautiful Anna Nyaronga. Ooh! No! Ngoja nimpe heshima yake kwa kutumia jina lake jipya ambalo anatumia Mrs. Anna Hanson Kilango.

Anna mdogo wangu, wewe ni mmoja ya watu wanao ni inspire sana. Such a strong young lady I’ve ever met! Mungu a kubadiriki sana, upendo, amani, na furaha vidumu katika ndoa yenu. Mbarikiwe sana. Love you!

Mother and Son moment!

10689991_10152828623782808_8082077612500426258_nNice picture of Kweba and mama Kweba. Nani kama mama! Mbarikiwe wapendwa

Mlee mtoto katika njia impasayo!

17317_916239561776388_5725248398911823692_nSijui ni wahenga walisema au ni waswahili walisema kuwa “mtoto uleavyo ndivyo akuavyo”, yani kuwa malezi unayo mpa mtoto akiwa ndogo basi ndiyo yatajenga tabia yake ya ukubwani. Kwa wale wanao soma Biblia basi watakuwa wanafahamu hili fungu lisemalo ‘mlee mtoto katika njia impasayo naye hataiacha hata atakapo kuwa mzee’ (Methali 22:6)

Hii amahanishi kuwa watoto wanaolelewa katika maadili mema kuwa hawatofanya makosa katika maisha yao, la hasha! Watoto siku zote watakuwa watoto na watoto wote wanapitia njia moja ya ukuwaji hivyo makosa lazima yatatokea tuu haya hepukiki.

11659219_916239198443091_4585196360740646451_n
Camilla  (aliye beba mfuko) alipo kwenda kumtembelea rafiki yake aitwaye Dora

Tofauti kati ya watoto walio lelewa katika maadili mema na wengine ni kwamba siku zote hata wakifanya makosa huwa ni rahisi kurejea katika mstari ulio sahii bila kupotea kabisa. Yani wanakua kama Kondoo aliye potea lazima ipo siku atapata njia na kurudi kundini. Kwasababu yale mafunzo na malezi uliyompa yatakua ya ‘flash’ kwenye ubongo wake kila wakati kuwa hivi sivyo nililivyo lelewa au kwa lugha za wanywe wanasemaga “I wasn’t raised this way” or “I was raised better than this” hivyo kujikuta kubadili tabia zao na kufuata mafunzo walio pewa!10341647_916239351776409_2833411700493873017_n

 Hivyo napenda kumpongeza rafiki, schoolmate, na mwanamke mwenzangu Prisca kwa malezi anayo mlea mtoto wake ya kupenda watu wote bila kujali tofauti za rangi ya ngozi zetu au maumbile yetu. Haya ni malezi mema sana na mfano wa kuigwa. Mbarikiwe sana!

Linda Bezuidenhout keep shining!

11249848_709423412497306_3810608941086466482_nYes! She is featured in July issue of African Leadership Magazine! What an amazing news Linda; congratulations Missy LB. Well done!

11012586_709423359163978_2611958792103710880_nO’well! You can keep on hating her, but I can tell you for sure that the more you hate her the more she keeps shining so better start loving her! Personally I’m very proud of what you have been doing and achieved! I would have doubted if was only one magazine keeps recognizing you repetitively, but that isn’t the case to you, you’ve been recognized and featured in different magazines and newspapers from America all the way to the motherland; congrats you surely deserve it!

11403008_709423409163973_3492622207294848674_nLinda receiving copies of magazine from editor of the African Leadership magazine  Mr. Kingsley Okeke 11236426_709423212497326_6576415971030545565_n Leyla (Linda’s  first born) and her husband Mr. Mali Kimesera were there as well. 11659348_709620845810896_6802823800920420064_nI think it would be fair to say congrats to Mr. Mali because he is  Linda’s Manager and he has done an amazing job!

11701124_709423342497313_8585493264319928892_nMuheshimiwa Mohammed Dewji’s picture is a cover of the magazine as well as  featured in the pages following Linda.  Dewji has been recognized as Africa’s youngest billionaire philanthropist. My congratulations to him! 17721_708046675968313_973024077701038609_nLinda  met one of the relatives of Civil Rights icon Mrs. Naomi Ruth Barber King, sister-in law to late Dr. Martin Luther King. 11541979_708046672634980_678590546258737464_nMrs. Naomi Ruth Barber King was one of the key speakers on the African Leadership Awards ceremony which was held at Ritz Carlton, Atlanta, Georgia on June 27th, 201511692730_709621169144197_3015601318729094842_nBRAVO! BRAVO!

Hongera sana mjomba wangu Atanas Ageng’a

IMG-20150627-WA0000
Nimefurahi sana tena sana kuona mjomba wangu akipatiwa zawadi ya Bhajaji na Utegi Technical Enterprises (T) Ltd, hongera sana uncle Ageng’a! Ageng’a alipatiwa Bhajaji hiyo jana mjini Dar es salaam, Tanzania. Huyu mjomba wangu alishawahi kushiriki mbio za baiskeli za walemavu huko siku za nyuma naalibahatika kuutwaa ushindi kwa mara tatu kama kumbu kumbu zangu zipo sawa.

2015-06-27 23.32.50

Walio kuwepo hapo wakati watukio alikua Managing Director of Utegi Technical Enterprises (T) Ltd-Mrs. Magreth Mabada. Chairman and CEO wa Utegi Technical Enterprises na Saoligo Holding-Sir O.O Igogo.  Napia mfanyakazi wa Utegi Technical Sir. John Orwanda. Hongera sana Utegi Technical kwa kujali walemavu na watu wasio jiweza.

2015-06-27 23.31.23
Kwakweli huwa na furahishwa sana na urafiki ulipo kati ya huyu mjomba wangu na baba yangu mzazi, ni marafiki mmnooo! Huko siku za nyuma alisha wahi kumzawadia zawadi ambayo hata mimi siwezi sahau, ilikuwa ni siku ya harusi ya mjomba wangu na mkewe mpendwa. Kama tujuavyo nyumbani Tanzania kama wewe hali yako ni duni basi hata watu watakao hudhuria sherehe zako ni wale ambao hali zenu kifedha mnaendana nao; hivyo basi ni watu wachache sana walio kuwa wanajiweza kifedha au walio kuwa na hali nzuri kifedha ambao waliudhuria harusi yake, mmoja wao alikuwa baba na familia yake. Basi ilipo fika wakati wa kutoa mkono wa pongezi kwa maharusi baba yangu alim surprise kwa kuwapeleka honeymoon ya wiki nzima Bahari Beach Hotel. Yani miaka hiyo ya mwanzoni kabisa ya 90s hiyo ilikuwa a big deal! Kilikuwa nikitu ambacho kiligusa sana hisia za watu wengi sana walio kuwepo hapo hasa maharusi. Kwasababu hawakufikiria kabisa kitu kinaitwa honeymoon kwasababu ni kitu ambacho wahakuwa wanaweza kumudu gharama zake. Ukizingatia maisha yao yalikuwa ya hali ya chini sana na hapo harusi imefanyika Yombo vitu, achana na hii Yombo Vituka ambayo ina bara bara za lami naongelea ile Yombo Vituka ambayo ilikuwa na mapori ma mabonde 🙂 yani barabara ni vumbi, madimbwi tuu! Kwahiyo waweza pata picha ya maisha halisi walio kuwa wakiishi tena kwenye nyumba ya kupanga.

Anyway, hongera mjomba wangu furahia usafiri wako mpya. Mie penda wewe sana sana!

Kutoka Facebook

Nimependa sana hii picha ya Muheshimiwa ShyRose Bhanji. Kapendeza sana.

FB_IMG_1435476733029

 

Ni kiburi cha pesa au nikweli ana haki ya kumshtaki?

Watu huwa wanasema kuwa ukitaka kujua tabia halisi ya mtu subiri akipata pesa au akipata nafasi ya kuwa kwenye position ambayo inampa power (madaraka ya juu). Kuna baadhi ya watu wakiwa na maisha ya kawaida au nafasi za chini kwa sababu fulani huwa wanapenda sana ku pretend na kuonyesha tabia ambazo si halisi najinsi waliyo. Matendo yao huwa nitofauti na matamanio ya myoyo yao. Utakuta mtu anakuwa mcha Mungu sana na mtu mwenye maadili ya hali ya juu na watu wengi wanamuona kama malaika, lakini mtu huyo huyo akipata  hela au madaraka kidogo huwa anatoa makucha yake au kuonyesha tabia yake halisi na watu wengi huwa wanaishia kushangaa kwasababu huwa ni tofauti kabisa na walivyo mzowea.

Mimi-Reginald-Mengi-naahidi-kumpenda-Jacqueline-Ntuyabaliwe-katika-shida-na-raha-hadi-kifo-kitutenganisheKama umeweza kupata nafasi ya kusililiza mahojiani aliyofanya Sporah na Emelda Mwananga katika Sporah Show, basi utakua umesikia kuwa “Jacqueline Mengi” amemfungulia mashtaka Bang magazine kwa kile kinacho onekana kama wamekwenda kinyume na matarajio yake. Kwa maelezo ya Mkurugenzi wa Bang Ms. Emelda Mwamanga ameeleza kuwa alikuwa anafahamiana na Jacqueline kabla hata ya kuolewa na Dr. Mengi, vile vile alishawahi wahi kumfanyia mahojiano huko nyuma ambapo aliongea mambo mengi yanayo husu maisha yake binafsi kama engagement (nafikiri hapa ni ile engagement yake na mtoto wa Kingunge Ngombalemwilu) na mahusiano aliyokuwa nayo na wanaume wengine kabla ya kuolewa na Dr. Mengi; hivyo hili swala la kupelekana mahakamani limemshangaza sana kwani nikitu ambacho wangeweza kuzungumza na kuyamaliza.

Kiukweli hata mie nakubali kuna makosa ambayo yametendeka lakini swali ambalo najiuliza je kweli yalikuwa ni makosa ya kufikishana mahakamani, especially kwa watu walio kuwa wanafahamiana? Au ni kiburi cha pesa? Je the so called “Mrs. Mengi” ni mkarimu na nyenyekevu kama Watu wengi huko nyuma walivyo kuwa wakimsifia kuwa Jacqueline ni mtu mzuri sana, hana maringo. Sasa sijui kama kuwa “wife” wa Mr. Mengi kumembadilisha tabia au ni mtu aliyekuwa amejificha makucha yake na sasa anaona ni wakati muafaka wa kutoka out of the closet kwasababu ni “mke wa bilionea”.  Mimi sijui sina huwakika, labda nawe angalia hiyo show and be the judge! Japo kwasasa Watanzania watapata nafasi ya kumjua Jacqueline halisi 🙂 because you can’t pretend forever!

_66255944_facebook0001Kitu ambacho naona MD wa Bang magazine ameongea kwenye public na hakupaswa kusema ni kuhusu policy yao ya kuto kuonyesha nakala au kutuma picha kwa watu walio fanya nao interview baada ya naakala kuandikwa. Ila inaelekea hiyo policy inakuwa waived kwa baadhi ya watu walio wafanyia interview kwa sababu wanawaheshimu “kwaheshma unajua si kwa wote sisi unajua tuna policy kwamba ukisha fanya makala sorry umemfanyi interview mtu haupaswi kutuma tena picha au maswali ni very rare na kwa watu ambao tunawaheshimu sana anapo request ile interview imeshaiandika  naomba niipitie tuanampatia …..” Kwakweli hii haikupaswa kusemwa in public kabisa haswa ukizingatia ni kinyume cha poilicy zenu. Hii itafanya watu walio fanya interview na nyie na hawakupata kupewa hiyo nafasi wajione kama hawakuheshimiwa na hawakuwa na umuhimu kwenu. Na hata huko mbeleni kama hamkuwapa watu hii chance wakati wamesikia ukisema kuwa kuna baadhi ya watu huwa mnawapa hiyo special treatment kwakweli sidhani kama watafurahiya hata kama ni wachache ndo wanapewa swali litabaki kwa nini wao na si mimi? Hili hukutakiwa kusema, ulikosea sana.

Mahojiano yalikuwa mazuri sana, nimependa sana alivyo ongelea kuhusu maadili ya Mtanzania na kuwasihii wasanii wazingatie hayo. Inafurahisha na kuvutia kuona dada mzuri na kijana kama Emelda anajitambua na kujua nafasi yake katika jamii. Hongera sana Emelda!

Hongera sana Balozi Tuvako!

IMG_13912555288385Wiki hii muheshimiwa Rais Jakaya Kikwete alitunikia watu mbali mbali tuzo za utumishi kwa daraja tofauti na mmoja wa alikuwa Balozi Tuvako Manongi.  Yeye alitunukiwa tuzo ya Utumishi Uliotukuka daraja la kwanza. Hongera sana!…………….pichani ni Balozi Tuvako na dada yake mpendwa Peninah Tenga.

IMG_13853673833668Ulipendeza sana my sister, hongereni sana.

Hongera sana Lyimo!

Mr. Lyimo RN, BSN
Mr. Lyimo RN, BSN

Hongera sana Lyimo kwa hatua uliyo piga.  Kusoma ni kazi sana hasa ukiwa na majukumu ya familia. Ubarikiwe na Mungu akupe maisha marefu iliuweze ku enjoy matunda ya elimu yako.

IMG_13649973331558Naye mke mwema alikuwa na haya yakusema, “Lyimo sweetheart …, apart from being a full time RN at work, a full time Student at California State University East Bay, a full time Dance dad, and much more! And Still put up with me … You made it Grad! Congratulations on your BSN!” Hongera Regina kwa kuwa mke mwema maana kama kusinge kuwa na amanai nyumbani basi ingekuwa ngumu sana kwa Lyimo kwenda shule na kumaliza masomo yake.

IMG_13570696346068Watoto no hawakubaki nyuma, walikuwa beneti  kum support  baba. Hongera sana baba Aika  na Amani kwa kuonyesha mafano wanao kuwa no matter what it can be done!

IMG_13597997453974Hongera sana familia ya Lyimo, mbarikiwe.

Happy birthday to me!

2015-06-26 00.25.46New year, New me, New spirit, New life!! I’m Forgiven, Highly Favored and Blessed! Thank you Lord! Happy birthday to me!

Kutoka Facebook

FB_IMG_1435192559947Nimependa sanaaaa hii picha ya our 2015-Hottest And Best Couple Of The Year (Mr and Mrs  Nyongo). Wamependeza sana.

2015-06-24 20.59.03

Kusoma zaidi kuhusu hawa wapendanao ponyeza HAPA

Father’s Day Message

IMG-20150624-WA0000Muheshimiwa Vincent Nyerere anasema naye hakuwa nyuma siku ya Father’s Day. Alikuwa beneti na binti yake mrembo Janet (Joha) ambaye ni last born wake. Kama mnavyo waona kwenye picha mtoto amelala kifuani kwa baba akiwa hana wasiwasi kwani anajua yupo salama.

Inavutia na kutia faraja sana haswa kwa wanajamii ya Watanzania kuona viongozi wetu wanakua mfano wa malezi na tabia njema. Hongera sana Muheshimiwa mfano wa kuigwa sio kama wakina ‘naniuu.’  🙂

#NaniKamaBaba

Manhood!

2015-06-23 01.58.33
                                      Iddi Sandaly MBA, CPA

Kutana na President wa DMV  (District of Columbia, Maryland, Virginia) na Director wa Seruwage Consulting and CPAs Mr. Iddi Sandaly MBA, CPA.  Kampuni yake inajihusisha na utowaji huduma za bookkeeping,  accounting, na maswala yote ya kodi. Vile vile inatoa huduma za life insurance. Kampuni hii ipo 4600 Powder Mill Rd, #450-Q, Bellville, Maryland, 20705.20150615_141455Nilipokuwa kwenye office ya Mr. Sandaly  maharufu kama Mr. President nilibahatika kukutana na bwana Kessy Janabi yeye ni Sale Representative wa Retriever (merchant solutions).  Retriever ni kampuni inayo jihusisha na kusaidia wafanya biashara wote kuwa na paperless transactions or electrinical transactions. Yani watu watumie technology ya digitally kulipa na kupokea pesa. Retriever makao makuu yake yapo Holland, Illinois.

IMG-20150615-WA0015Pia nilibahatika kufanya mahojiano na Mr. President. Kwakweli nilifurahi sana kusikia na kujua historia yake ya alikotoka. Siku ikiwa tayari basi nita share nanyi hapa kwa hii blog. Najua mtaipenda sana na mtajifunza mengi.

Kutoka Facebook

FB_IMG_1435022666365Nimependa sana sana hizi picha za Regina Mugetta a.k.a Mrs Lyimo  (nawatahadharisha walevi mali zina mwenyewe hizo)  😉 😉 kapendeza sana.

FB_IMG_1435022672817Very nice!

Happy 4th birthday Amani!

FB_IMG_1435022602426Happy 4th birthday Amani Lyimo. God bless you with  everything your heart   desires.

FB_IMG_1435022617453May God increase you in wisdom

FB_IMG_1435022595746FB_IMG_1435022609013FB_IMG_1435022613089Happy 4th birthday to my son Prince Amani 👑! My all time speedometer – “mommy you are going too fast! We don’t have to rush mommy..😜 “! You are our family peace builder 🙏🏾! We love you so much! God bless you and give you long happy healthy life ever! 💙💋💋💋🎉🎉🎈 (lovely message from Regina to her son)

FB_IMG_1435022907633Hongereni sana mama na baba Lyimo kwa kukuza. Mungu azidi kuwabariki. Happy birthday Amani!

Father’s Day Message

received_10153157837501919Zion is soooo lucky to have you as his dad! Amazing husband, great man, wonderful dad. Happy fathers day baby daddy!

FB_IMG_1435022981728That was message from Kidada to her husband. Lovely!

 

Father’s Day Message

FB_IMG_1434994168045HAPPY FATHER’S  DAY TO MY DARLING FATHER Mr. Vincent Bezuidenhout.

FB_IMG_1434994158446My father is not just a father , But a 1) Best friend 2) The first male I fell in love with from the day I was born 3) My advisor 4)The best grandfather to my kids 5)My mother ( from the day my mother passed in 1993)

FB_IMG_1434994068095He taught me not to fear any one and always to speak the truth even in the face of danger….. my courage, my confidence in everything I do, My braveness…. And a lot more is 100% from my father. I am his Mini him or the female version of his.

FB_IMG_1435020248040I love him so much!!!!!. No words could really explain how much I love him. HAPPY FATHERS DAY DAD

Father’s Day Message

FB_IMG_1434994025283HAPPY FATHERS DAY TO THE MOST HARDWORKING MAN ON EARTH. Ladies and gentlemen this man besides fathering our kids he also manages his MAGNIFICENT wife, he is my manager, he is the one who supports me fully!!!!. He is the guy who takes care of the kids when I am busy grinding in the basement working on LB’s… He helps the kids with their homework’s..listens to their needs he helps them with their school projects he is the one who drives around with them to office max to get tools for their school projects every time they have school tasks. …While I may be working or even chilling sometimes 😂😂. THIS MAN IS THE BEST FATHER ANY KID WOULD WISH TO HAVE. Happy Fathers Day my darling Husband 😘 May ALLAH/GOD BLESS YOU Darling.

FB_IMG_1434836946681That message above was from Missy LB to her husband Mr. Mali…………as usual Linda is rocking her own designed dress. Very nice!

Father’s Day Message

FB_IMG_1435018209342Happy Father Day Dad,
Thank you for always being there, raising us in house full of happiness, good food and joy and never letting us feel any of the hard obstacles that were coming your way. Thank you for supporting us in our dreams and pursuits, and instilling in us values of honesty and integrity. Thank you for loving us and cherishing us and giving us the confidence to achieve our dreams. Thank you for just listening and saying “I know, stay strong, this too will pass” when we needed someone to talk to, and thank you for giving advice when we needed it. Thank you for being a good role model and setting a high bar for us to look up to. Although you never had one of your own to look up, you were and are an excellent Father, and I want to take this opportunity to say thank you Dad for everything.
Happy father’s day, may Allah bless you with many more years of good health, joy, and happiness.

FB_IMG_1434995208608I am very grateful to have as my Dad. You are truly a real blessing in our lives. May Allah increase you in all the good things and protect you from all the evil.

Those were Father’s Day messages from Malika Napoli and Kamilya Napoli to their dad!

Father’s Day Message

“Happy Father’s Day Deogratias Chanda. We love you!”

FB_IMG_1434992159150Nice picture of James Chanda and his father

FB_IMG_1434992392984James and his daughter Allisa

Blog