Kutoka Facebook

FB_IMG_1435717106169Nimependa sana hii picha ya beautiful Anna Nyaronga. Ooh! No! Ngoja nimpe heshima yake kwa kutumia jina lake jipya ambalo anatumia Mrs. Anna Hanson Kilango.

Anna mdogo wangu, wewe ni mmoja ya watu wanao ni inspire sana. Such a strong young lady I’ve ever met! Mungu a kubadiriki sana, upendo, amani, na furaha vidumu katika ndoa yenu. Mbarikiwe sana. Love you!

2 thoughts on “Kutoka Facebook”

  1. Thank u ma sister nimejua kuwa bila Mungu hakuna linalowezekana knowing God is such an amazing feeling…. Thank u so much big sis

Leave a Reply