Hongera sana Lyimo!

Mr. Lyimo RN, BSN
Mr. Lyimo RN, BSN

Hongera sana Lyimo kwa hatua uliyo piga.  Kusoma ni kazi sana hasa ukiwa na majukumu ya familia. Ubarikiwe na Mungu akupe maisha marefu iliuweze ku enjoy matunda ya elimu yako.

IMG_13649973331558Naye mke mwema alikuwa na haya yakusema, “Lyimo sweetheart …, apart from being a full time RN at work, a full time Student at California State University East Bay, a full time Dance dad, and much more! And Still put up with me … You made it Grad! Congratulations on your BSN!” Hongera Regina kwa kuwa mke mwema maana kama kusinge kuwa na amanai nyumbani basi ingekuwa ngumu sana kwa Lyimo kwenda shule na kumaliza masomo yake.

IMG_13570696346068Watoto no hawakubaki nyuma, walikuwa beneti  kum support  baba. Hongera sana baba Aika  na Amani kwa kuonyesha mafano wanao kuwa no matter what it can be done!

IMG_13597997453974Hongera sana familia ya Lyimo, mbarikiwe.

Leave a Reply