Manhood!

2015-06-23 01.58.33
                                      Iddi Sandaly MBA, CPA

Kutana na President wa DMV  (District of Columbia, Maryland, Virginia) na Director wa Seruwage Consulting and CPAs Mr. Iddi Sandaly MBA, CPA.  Kampuni yake inajihusisha na utowaji huduma za bookkeeping,  accounting, na maswala yote ya kodi. Vile vile inatoa huduma za life insurance. Kampuni hii ipo 4600 Powder Mill Rd, #450-Q, Bellville, Maryland, 20705.20150615_141455Nilipokuwa kwenye office ya Mr. Sandaly  maharufu kama Mr. President nilibahatika kukutana na bwana Kessy Janabi yeye ni Sale Representative wa Retriever (merchant solutions).  Retriever ni kampuni inayo jihusisha na kusaidia wafanya biashara wote kuwa na paperless transactions or electrinical transactions. Yani watu watumie technology ya digitally kulipa na kupokea pesa. Retriever makao makuu yake yapo Holland, Illinois.

IMG-20150615-WA0015Pia nilibahatika kufanya mahojiano na Mr. President. Kwakweli nilifurahi sana kusikia na kujua historia yake ya alikotoka. Siku ikiwa tayari basi nita share nanyi hapa kwa hii blog. Najua mtaipenda sana na mtajifunza mengi.

Leave a Reply