The Flowers of True Love -by Susan Igogo

screenshot_2016-09-11-16-05-19-1Pata copy yako sasa hivi bila kuchelewa!

Mama na binti yake

fb_img_1473683500975fb_img_1472436063790Mama na binti yake! My mtani enjoying weekend na mama mzazi in NY! ………Mama yake mtani wangu kaja msalimia mwanae, ndugu jamaa, na marafiki! Karibu sana mama enjoy your stay ❤❤

Cheka uongeze siku za kuishi

screenshot_2016-09-12-07-25-48-1??? Aliye tengeneza hii made my day! ????

Picha iliyonivutia zaidi

fb_img_1473624835763Jacqueline Mengi ndiyo my hot pic of the day………….cute!

The Flowers of True Love- by Susan Igogo

screenshot_2016-09-11-16-05-19-1img-20160911-wa0000-1-1Wapendwa, wale wanao penda kusoma vitabu haswa romantic books basi hichi kitabu si chakukosa! Wahi leo upate copy yako! Nikitabu kilicho andikwa na mwana dada wa Kitanzania aishie Marekani anaye julikana kwa jina la Susan Igogo. Embu msome kidogo hapa ?screenshot_2016-09-11-16-06-02-1fb_img_1472436063790Kitabu kinapatikana online na offline @Amazon.com, Barnes&Noble katika format ya hardback $24.99, Paperback $15, na Ebook $3.99…….. Get your copy now and enjoy the book without forgetting to give us the feedback! Asanteni sana!

Picha nilizopenda siku ya leo

fb_img_1473625757997Joyce Kiria mama wa #Mwanamke piga kazi……… Kapendeza sana lakini mimi nimependa zaidi gauni lake ni zuri n limemkaa vizuri sana! img-20160911-wa0000-1-1Susan Igogo author wa kitabu cha “The flowers of true love”……….. Kapendeza sana

Mama na binti yake

fb_img_1473624683842Zari na binti yake Queen Latiffa, Wamependeza sana

Pata ushauri wa bure toka kwa “Fikia Mafanikio”!

screenshot_2016-09-11-08-52-32-1fb_img_1472436063790Haya wapendwa mliyopo Bongoland, “Fikia Mafanikio” inatoa ushauri wa bure kabisa ya jinsi ya kufikia na namna ya kugimoza ndoto zako ulizo nazo! Nenda Facebook na “LIKE” page yao kisha watafute kama unahitaji msaada wao! Ukiona mtu anakupa free advice katika maswala ya msingi; basi si sehemu pa kukosa hapo. Wahi ujipatie ushauri wa bure toka kwa wataalam!fb_img_1473601933687

Je, nimuhimu kuvaa pete ya ndoa kila wakati?!

fb_img_1472436063790Katika pita pita yangu huko Facebook nikachungulia kwa mama wa “Wanawake Live” a.k.a “Mwanamke piga kazi” a.k.a “Super woman”……….. Nilipochungulia nikaona post ambayo chanzo chake ni Jamii Forum! Post hiyo ilikuwa inamuhusu yeye Joyce Kiria kuwa kwanini havai pete ya ndoa? Embu soma hiyo post hapa chini kabla ya kusoma maoni yangu screenshot_2016-09-11-09-10-40-1-1fb_img_1472436063790Mimi naamini kuwa kuna umuhimu wa kuvaa pete ya ndoa lakini si lazima kwasababu zifuatazo:- (1) kama wewe ni mtu upo kwa macho ya jamii kila wakati basi ni muhimu watu wakajua your identification ya mambo ya msingi kama marriage status yako. Lakini si lazima! Yani nisawa na kusema wakristo wabebe Biblia mikononi au vichwani muda wote ndio tuamini kuwa ni wakristo! Hapana! (2) Kuvaa pete ya ndoa 24/7 haichangii kuongeza wala kupunguza upendo kati yenu nyie wawili kama kweli mna mapenzi ya dhati! Upendo wa kweli hutoka moyoni nasio kwenye pete! (3) Sio wote waitao Bwana Bwana watakao uona ufalme wa Mungu! Basi ndivyo ilivyo kwa wanandoa; sio wote wavaao pete ya ndoa 24/7 ni waaminifu katika viapo vyao! Tabia ya mtu haibadilishwi na pete! Rejea scandal ya Bill Clinton na Monica Lewinsky au Tiger Woods (4) Kuvaa pete siyo guarantee ya kupata heshima. Heshima ya mtu hujengwa na mtu mwenyewe! Mfano Oprah Winfrey na Stedman (5) Pete ya ndoa haiongezi wala kupunguza amani ndani ya ndoa. Kuna mifano hai ambayo nimeona japo siwezi zisema hapa. (6) Furaha ya ndoa hailetwi na pete ya ndoa. Kuna wanadoa wengi tu hawavai pete ya ndoa na wanapenda na furaha tele. Mfano hai ni Wasabato hatuamini kuwa pete ni sehemu muhimu ya ndoa. Hivyo kuvaa au kutokuvaa ni maamuzi yenu nyie wawili. (7) Kuvaa pete ya ndoa 24/7 doesn’t validate your marriage! Kuna watu wana vaa pete ya ndoa 24/7 lakini hata “kiss” tu hawapeani ?? ndoa za maigizo ??? (8) Jamani hata Yesu alifunga kwa siku arobaini na si mwaka mzima. Hivyo saa nyingine acha kidole kipumbue kidogo kha! (9) Thamani ya ndoa yako haitokani na pete bali inatokana na nyie wawili jinsi mnavyo heshimiana, thaminiana, na kupendana ndani ya nyumba na nje ya nyumba! (10) Adamu na Eva hawakuvaa pete ya ndoa ??

Picha iliyo nivutia zaidi

Screenshot_2016-09-08-10-40-36-1FB_IMG_1472436063790Ka baby haka nimekapenda sana. Mzurije sasa! Picha zake ndio zimenivutia zaidi siku ya leo……….Not sure kama yeye ndiyo anaitwa Kourtney au mama yake, Mungu amlinde na kumjalia mema yote ya hii dunia?? Screenshot_2016-09-08-10-39-57-1Screenshot_2016-09-08-10-42-13-1Screenshot_2016-09-08-10-41-02-1Screenshot_2016-09-08-10-41-24-1…….Glory and honor be to God!

“Empathy and laughing at others’ misery”?!

one’s past and one’s present. Based on the world we live in, I don’t think it’s an outrageous statement to make.

Most people lack empathy for themselves, therefore they are unconscious of their own emotions and motives – and by extension they can’t empathize with others. I often hear people say, “Oh, he’s just this weird smelly man.” Or, “He was such a good boy when he was little, and now he’s so mean, I don’t know what happened!“ Or, “She’s just a dumb, filthy whore, how pathetic.” Or, “Haha, he’s so stupid! How could he do this kind of stuff, that‘s retarded.” And so on…

Every person was a child once. However, a lot of people fail to understand that. Since they haven’t processed their own past, they see others as they are right now – and that’s it. They can’t comprehend that this person was a child once, and a lot of things happened before (s)he became a person that they are today. They didn’t just fall from the sky being 40 years old and grumpy or stupid, or aggressive, or ignorant, or scared, or promiscuous, or lonely – or smart, or funny, or creative, or empathetic, or kind. A LOT of things happened before that, leading to the point where they are today.

This “weird smelly man” probably was neglected and abandoned a lot as a child and hasn’t developed proper self-care and social skills, so he’s probably lonely and miserable.

This “mean guy” probably suffered a lot of abuse and control from others in his early and later life; therefore he had to obey and seemed “nice”, but actually was very scared and hurt, and his meanness in adulthood is a defense mechanism from a potential attack.

This “filthy, pathetic whore” probably didn’t have loving, protecting parents, and was sexually abused, presumably several times; therefore she tries to normalize what happened to her by acting promiscuously – and, in her own way, tries to feel needed, valuable, and loved.

This “stupid person’s” preferences probably were ignored and he was forced to do stuff that he didn’t like, and he never had a great teacher, and he was punished for making mistakes; so he just gave up and stopped trying, and dissociated from his true emotions, interests and talents.

Trying to understand oneself and others is much harder than just saying, “Oh, he’s just weird” or, “She’s so dumb.”

People who haven’t processed their own life tend to make fun of others, laugh at their pain, put them down, and demean them in various other ways.

This behavior says two things about such people:

  • One: these people feel insecure and unhappy about their own lives.
  • Two: somebody treated them the same way they are treating others and they haven’t processed these horrific experiences.

People laugh at others’ pain and misery, and demean others because they themselves feel unprocessed pain and are unhappy.

If you understand your own pain, it’s impossible to laugh at other peoples’ misery or harm others.

Self-archeology leads to self-empathy – and that by extension leads to more empathy for others, especially for children.FB_IMG_1473428092899Source: Empathy and Laughing

Picha nilizopenda siku ya leo

Screenshot_2016-09-09-08-04-34-1FB_IMG_1472436063790Msanja Mkandamizaji na mkewe wakiwa huko Dubai baada ya ibada. Nimeona Masanja amesema ibada zote ndani ya Dubai huwa zinafanywa siku ya Ijumaa! Sina huwakika na hilo kwani kuna Wasabato ambao wanaishi Dubai na wanaishi huko sijui kama na wao wana sali siku ya Ijumaa FB_IMG_1473427969984Mr and Mrs Stephen Mndalila kutoka U S.A…….. Wamependeza sana

“Your season of elavation has come”-get inspired by Tisha

Whenever God wants to bless someone He gives them an idea(revelation). In Genesis He gave Jacob the idea(revelation) to put speckled branches in front of the animals where they were drinking water and they reproduced young ones with speckles. Even our salvation comes through the revelation that Jesus Christ is the Savior who died for us and rose again, giving life to everyone who believes.

As you pray and wait for an answer, pray that God may give you an idea(revelation) that will solve your problem. Don’t just pray and expect God to do it because in most cases, God doesn’t do what humans ought to do. Moses had to receive an idea(revelation) to open the red Sea and close it. God often times answers prayers by working in partnership with us. FB_IMG_1473427213788Blessed weekend and enjoy your new month.

Source: get inspired by Ti_ sha

Manhood!

Screenshot_2016-09-07-11-05-06-1FB_IMG_1472436063790William Earnest Kapendeza sana, looking good little brother! Please follow him kwa IG yake inakwenda kwa jina la “masaimaratz” ili uweze kucheka, share stories, na ku refresh mind!

Wewe ni nani hata ucheke wengine?!

FB_IMG_1473428092899FB_IMG_1472436063790Mpendwa hii dunia ya Musa nenda nayo polepole eeh! Haihitaji ujuwaji wala kimbele mbele…….!! Nilishawahi kusema huko nyuma kuwa siku zote dharau maiti lakini si binadamu mwenye pumzi ya uhai toka kwa Mungu kwani ya Mungu mengi! Sasa wewe jifanye ndio mtaalamu wa kucheka watu kwa mapungufu waliyonayo au kwa hali yoyote ile ambayo wewe unaona kuwa siyo nzuri! Waswahili tunasema “Mungu hamtupi mja wake”! Ipo siku fimbo ya Mungu itakuchapa pasipo wewe kujua na hapo ndipo majuto huwa mjukuu! Heshimu, ombea na watakie kheri watu wote bila kujali hali zao kwani aliyekupa wewe ndiye aliye ninyima mimi! ………. Hapo ulipo hata kuumba sisimizi huwezi pamoja na udogo wake ule alionao lakini huwezi muumba! Sasa ni nini kinakupa kiburi na jeuri ya kucheka wenzako?? Wewe ni nani hata ucheke wengine?!………Tafakari, fanya mabadiliko!FB_IMG_1473433434855

Picha nilizopenda siku ya leo

Screenshot_2016-09-05-21-29-05-1Jide (Bongoland)……….. Katoka kikomandoo kama anavyo penda kujiita! Kapendeza sana Screenshot_2016-09-07-08-31-18-1Linda Bezuidenhount mama wa LB, kichuna cha Kizaramo katika ubora wake! (Atlanta, Georgia)……… Hapa kiwa busy huko New York kwenye photo shoot ya new clothing line yake na Karen King ijulikanayo kama ID’EAL…….! Kitu kingine kulicho nivutia ni huo ujumbe ?? FB_IMG_1473108715690Mwajuma (London)…………….. Kapendeza sana

Shukuru kwa ulicho nacho sasa ndipo utabarikiwa zaidi!

db2a5e2578ab6f5d636489ad43de6824FB_IMG_1472436063790Jifunze kushukuru kwa ulicho nacho kwanza ndipo utabarikiwa zaidi! Sasa kuna watu ambao hata kile kidogo walicho nacho hawalidhiki kutwa kujenga chuki na wengine bila sababu za msingi! Hawa watu wasio ridhika ndio unakuta hata awe na pesa na mali kiasi gani lakini HANA AMANI NDANI YA ROHO YAKE!! Yani akikuta hata watu wasio na uwezo kifedha na mali (masikini) wanajichekea na kufurahia maisha kwake ni tatizo kubwa! Kwani anaumia na kuchukizwa kuona masiki anafurahia maisha kana kwamba ni mtu tajiri sana!! Siri ni moja tu……….!! Huyo masiki unaye muona ni masikini wa pesa na mali tu lakini Mungu kampa amani tele moyoni kwa kuwa kashukuru kuwa ni sawa kutokuwa na vyote. Hivyo kama ni mtu wa kujishughulisha na kupigania maisha bora zaidi ya aliyokuwa nayo sasa basi ipo siku Mungu atamwona na kumbariki zaidi! Haina aja ya kuchukia mtu kwasababu anafuraha moyoni mwake! Hakuna sababu ya kumchukia mtu Kwasababu ana wazazi wake ambao wanampenda, hakuna haja ya kuchukoa mtu Kwasababu kajaliwa watoto na wewe hauna! E t c ………… Shukuru kwa ulicho nacho sasa ndipo utabarikiwa zaidi!

Baba na binti zake

Screenshot_2016-09-07-08-25-33-1FB_IMG_1472436063790Kama kuna picha ambazo uonekana kwa nadra sana kwenye macho ya jamii, basi picha za mabinti wa Rais mstaafu Jakaya Kikwete! Ni mara chache sana tumekua tukiziona picha zao hata kwenye matukio ambayo ni public wamejitahidi sana to keep their life private mpaka sasa hivi baada ya baba yao kustaafu ndio tunawaona zaidi!!Huyu mdogo naona mama Salma Kikwete kajizaa mwenyewe; wamefanana sana. Na huyu mkubwa kafanana sana na baba yake………….. Hongereni. Inapendeza sana

“Wanaume wengi wa Bongo wanaamini wanawake ni sex object” -Lemutuz

Screenshot_2016-09-07-08-09-28-1 Screenshot_2016-09-07-08-09-52-1

Picha iliyo nivutia zaidi

Screenshot_2016-09-05-21-27-59-1Hon. Shy-Rose Bhanji ………..Kapendeza sana

Blog