Baba na binti zake

Screenshot_2016-09-07-08-25-33-1FB_IMG_1472436063790Kama kuna picha ambazo uonekana kwa nadra sana kwenye macho ya jamii, basi picha za mabinti wa Rais mstaafu Jakaya Kikwete! Ni mara chache sana tumekua tukiziona picha zao hata kwenye matukio ambayo ni public wamejitahidi sana to keep their life private mpaka sasa hivi baada ya baba yao kustaafu ndio tunawaona zaidi!!Huyu mdogo naona mama Salma Kikwete kajizaa mwenyewe; wamefanana sana. Na huyu mkubwa kafanana sana na baba yake………….. Hongereni. Inapendeza sana

Leave a Reply