Category Archives: Friendship

Wema Sepetu: Kila lenye mwamzo lazima mwisho uwepo

Nifuraha ilioje ndugu wakipatana?! Kaka yangu kipenzi Mh. Paul Makonda akiwa na MoyoMtamu wa Tanzania Wema Sepetu nyumbani kwa RC  🙌  Mungu ni mwema na amani iwe kwenu! Asante kwa wifi yangu Mrs Paul Makonda kwa kumkaribisha Wema nyumbani kwenu najua hapo lazima dinner fulani amazing ilipikwa au fresh juice fulani nzitooo zilinywewa na kushikana mikono kwa furaha  😀😀😀   kweli kuwa “shilawadu” lazima uwe na kipaji kwani si kazi ya lele mama 🙈🙈 

Embu msome Wema kwa maneno yake mwenyewe jinsi alivyo andika kupitia ukurasa wake wa Instagram 👉👉 ” wemasepetu……. Kila lenye mwanzo lazima mwisho uwepo…… cc @paulmakonda … Le RC…”

Everyone Needs Someone!

            Everyone Needs Someone  People need people and friends need friends
And we all need love for a full life depends
Not on vast riches or great acclaim, Not on success or on worldly fame, But just in knowing that someone cares And holds us close in their thoughts and prayers- For only the knowledge that we’re understood
Makes everyday living feel wonderfully good,
And we rob ourselves of life’s greatest need
When we “lock up our hearts” and fail to heed. 

The outstretched hand reaching to find
A kindred spirit whose heart and mind
Are lonely and longing to somehow share
Our joys and sorrows and to make us aware
That life’s completeness and richness depends On the things we share with our loved ones
and friends.

***written by Foster M.M***

Nionyeshe marafiki zako nami nitakwambia wewe ni mtu wa namna gani!

Jokate Mwegelo (kushoto) akiwa na rafiki yake Sir. Theodora

Je, rafiki yako ni Nan?! Leo nimekwenda chungulia kwa mrembo wetu Jokate Mwegelo nikakuta kaweka picha za yeye na rafiki yake waliosoma wote secondary, nikafurahi sana moyoni kwani inaonyesha kuwa Jokate ni rafiki mwema. Pia nikaangalia rafiki yake huyo anamuonekano gani! Nikapata jibu, na hapa ndipo nikakumbuka ule usemi wa  wenzetu unaosema kuwa ‘nionyeshe marafiki zako nami nitakwambia wewe ni mtu wa namna gani’! “Show me your friends and I will tell you who you are”!  Watu unaokaa nao au kuongea nao kwa muda mwingi wana uwezo mkubwa wa ‘kukuambukiza’ tabia zao! Tabia zao zinaweza zikakujenga vyema au kukuangamiza! Pia kuna msemo wao mwingine unasema ” show me your friends and I will tell you your future” kwamba; nionyeshe marafiki zako nami nitakueleza maisha yako yabadae! Kwa mfano: kama wewe umezungukwa na marafiki waongo na wambea  basi wewe lazima utaishia kuwa mwanachama wa “SHILAWADU” 😂😂😂🙈🙈 #Nionyeshe marafiki zako nami nitakwambia wewe ni mtu wa namna gani’! Choose your friends wisely! 

“Sr. Theodora nilisoma nae shule mmoja Sekondari. Alipokuwa Form 6 mimi nilikuwa F3. Ila saaa ndio mwalimu mkuu wa @stjchstz_official nilifurahi aliponialika kuongea na wanafunzi wake.” ~~~~~Jokate 

Womanhood!

Ain’t they beautiful! Rafiki yangu kipenzi na college mate wangu Dinnah (kulia) akiwa na rafiki yake waliosoma wote secondary, anaitwa Erica. ……..hapo wapo South Africa enjoying some quality time together. Dinnah ni owner wa Masaki Computer and Printing hivyo nawaomba follow hiyo account ya Masaki kwenye Instagram na pia kwa wale mliko Tanzania tafadhali muungeni mkono rafiki yangu 🙏🙏 

Je unamuhitaji huyo mtu maishani mwako? Je upo tayari kumvumilia tabia yake?

Swali la msingi hapo ni Je unamuhitaji mtu huyo maishani mwako? Je upo teyari kumvumilia tabia yake?!!….. Well, Maya Angelous said it very well “When people show you who they are believe them”!! This quote has been my guardian angel in picking and choosing who to be my friend and around me! Yes! Agree hakuna mtu aliye kamilika hapa duniani but there’s a distinctive line between mistake and evil!! Mtu yoyote anaweza fanya mistake lakini kuna mtu anafanya kitu au akanasema mpaka mtu unajiuliza hivi huyu ni binadamu wa kawaida? Kuna watu wana roho za kishetani kaa nao mbali na wala wasikudanganye na makeup wanazo paka, nguo wanazo vaa, elimu zao, wala uzuri wa sura zao! When someone does AN EVIL ACT to you that person is nothing but A DEVIL stay farrrrrr from him / her!

“The only advice you can get from a fool is a foolish advice.”

They told her to leave her husband because she’s worth more than him. They told her she’s beautiful and successful, that a woman of her standard deserves a better man with a better job income and personality . She listened to them and abandoned her home. Ts been over 7yrs since then and she’s still looking for a better man that matches her standard. The funniest part is that those friends who told her to leave her man are still with thier own husbands, doing everything possible to save their homes. Be very careful from who and where you take your relationship and marriage advice. The only advice you can get from a fool is a foolish advice. Anyone who recommends divorce or break up to you at every slight argument with your partner is an enemy that appears like friend.

A lazy man and a poor man are never the same. If a man doesn’t have today does not mean he will be lacking for life. As long as he’s GOD fearing, loving, caring and appreciative of your efforts you don’t have to worry yourself. There are only two ways to regret in life. BEFORE AND AFTER. Those who choose to regret later may regret for long. A woman who choose never to be patience for a while might ends up enduring for life. Marriage is not a bed of roses. Don’t get carried away by what you see, some marriages and relationship are just like a reality show of make believe.

Behind every beautiful family pictures is an untold story of agonies and pains. If you want a husband like Obama you must be ready to be a wife like Michelle. ~~~~~~~~ Akin Al-Ameen®™2017

 

***The Ladies picture has nothing to do with the story! Nawapenda kwani wanajitambua!***

Womanhood!

Ladies! Pursuing man is nowhere in the Bible!

Ruth did not pursue Boaz. Nor did God tell Ruth to pursue him!

Shukran zangu za dhati kabisa kwa familia ya Aidan na Fina Nyongo!

img_20161216_082326-0My forever gratitude! Yani naishiwa na maneno ya kusema juu ya hii familia! The Nyongo’s Family just know nawapenda zaidi ya Uji wa Kijaluo 😆😆 Guys, you know how much I love you! Nawatakieni safari njema see you in a little while! 😍😍😍

Mtu na mtani wake!

fb_img_1481323870117My darling mtani and I! #FBF  Dec 9th 2012 Uhuru Day, Chicago , Illinois ……..penda sana my mtani 😍😍 ………… ma’am! Will I ever go back to that size 😅😅 💃💃

You don’t belong at the wedding!

screenshot_2016-11-29-23-29-45-1Binasfi nachukulia harusi ni swala personal sana, yani ndugu zako pekee na  wale watu ambao kweli wamegusa maisha yako au wenye kukutakia mema siku zote ndio wanatakiwa kuja kwa harusi yako! Harusi ni kitu kina tokea mara moja katika maisha yako (if no divorce) hivyo lazima uifanye iwe na kumbukumbu za watu au marafiki ambao kweli wana umuhimu kwako……….Kama hujaalikwa kaa kwako utulie!fb_img_1479752684072Tafadhali hii picha haina huusiano wowote na story hii. She is my niece!

Thanksgiving moment in NY!

fb_img_1480089766607My darling mtani enjoying Thanksgiving day with family! Mimi penda sana huyu mtani wangu such a humble charming lady! We go all the way back from CBE 👌👌 ubarikiwe sana mtani wangu na rafiki zako wotefb_img_1480089771007Yummy! delicious!
fb_img_1480089761179fb_img_1480089754640fb_img_1480101029422-1fb_img_1480101020071fb_img_1480101014267fb_img_1480101006256

Sisterhood!

img-20161017-wa0000When my sweet sister ShyRose mwana wa Bhanji met my other sisters, Magreth on the left side and Janeth on the right side! Nothing but ❤! ……Wanawake wa mkoa wa Mara! Si mchezo ati! Ndugu zangu mie hao leo hii walikutana kwenye mazishi ya my darling uncle Dr. Didas Massaburi. Poleni sana ndugu zangu.  img-20161017-wa0001Mbarikiwe sana 😍😍😍

“#KingKiba #CaseClosed” Jokate

screenshot_2016-10-10-15-54-50-1fb_img_1472436063790Jamani mrembo wetu ndo kesha tamka hivyo kuwa King Kiba case ilishafanyiwa kazi, hukumu akaitoa, na sasa ni “CaseClosed” 😂😂 Mimi nawatahadharisha walevi wote wa #MwendoKasi kuwa hapa ni mpaka kifo! Please muacheni wifi yetu lol!……… Hiyo ilikuwa ndio #MCM wake leo. Nice pic Jokate

So true! Very true! 100% true!

screenshot_2016-10-07-15-00-22-1

Sister sister!

fb_img_1475722980552-1Isn’t that cute! Inapendeza sana ndugu kupendana jamani! Mungu awabariki sana! ❤❤

#FBF: DICOTA 2012

FB_IMG_1467387426171Ngoja nianze kwa kicheko jamani kwani najua wengi mtanicheka sana ??? hapo kwenye picha ni mimi na brother James Kitia back in 2012 in Chicago kwenye DICOTA. Jana niliweka post ya James  (soma hapa) hapa baada ya mwanangu kunionyesha hiyo story. Mwanangu alikuja kwangu akasema “umemuona rafiki yako?”…………yeye anajua my story na James ndo maana akasema “rafiki yako”! Sasa ngoja ni share nanyi hiyo story……..

Jamani mie na maneno yangu yote haya ESCALATOR / moving stairway / electrical stairs ni ugonjwa wangu mkubwa ??? Sipiti kwenye Escalators hata kwa dawa aaa.???  Yani hata kuzitizama naona kama nataka kuzimia ??

Sasa wakati nakuja U.S.A kwa mara ya kwanza kabisa, nilikuja kwa ndege ya British Airways- Business class. Sasa tulivyo fika Heathrow Airport ikabidi twende hotelini kulala mpaka kesho yake ndio tulikuwa tunaondoka. Humo kwenye ndege ndipo nilikutana na kaka yangu James Kitia. Yeye final destination yake ilikuwa Chicago, Illinois na mimi ilikuwa Berrien Springs, Michigan.

Sasa basi shuttle za kwenda hotelini zilikuwa underground ambapo ukitaka kufika in 5 minutes inabidi utembee na Escalators au la sivyo inabidi utembee kawaida bila escalators ambapo itakuchukua not less than an hour!…….Mjaluo Luo mimi mbona machozi yalinitoka?? ??? …….basi hapo ndipo my coolest brother, said to me “worry not my sister, nitakusaidia”  Talking about raising a gentleman?! Someone did his / her job right!! Kudos to James’s parents!

Yani sikumuomba James msaada, but he saw my desperation and offered his helping hand to me! James akasema subiri hapa kwanza, akapeleka our hand luggages first halafu akapanda tena juu kuja kunifuata! Akaniambia nimshike nakunisaidia kushuka. Japo kwa kilio kikubwa sana lakini tulifika chini salama??

Bahati mbaya tulikuwa tunakwenda hotel tofauti hivyo tulipanda shuttle tofauti. Na pia muda wetu wa kuondoka tuliondoka mida tofauti, hivyo hatukuonana tena. Lakini nilikuwa namuongelea sana kwa watu walio nizunguka including my daughter. Baada ya miaka mingi kupita kwa mara ya kwanza tukakutana Chicago nakupiga hiyo picha ?. Wakati nafanya malipo ya DICOTA yeye ndo alipokea simu yangu na kunisaidia basi tukakumbukana hapo.

James, najua nilishawahi kukushukuru kwa ukarimu wako. Lakini naomba tena leo nirudie kusema asante sana tena sana. Mungu aendelee kukubariki katika kila jema ulitendalo wewe na familia yako. ??

NOTE: Ugonjwa wangu na Escalators bado hupo pale pale hadi leo hii! It’s just my worst nightmare, sijui kama nitakuja fanikiwa kuzipanda ??

Tanzia: Pole sana mtani wangu!

Screenshot_2016-06-24-08-25-29-1Kwamasikitiko makubwa sana, naomba nichukue nafasi hii kumpa pole mtani wangu kipenzi Evelyin Lance kwa kufiwa na mama yake mdogo aunt Phibe. Kama ninavyo share nanyi mara nyingi sana picha za mtani wangu akiwa na furaha, basi itakuwa ni uungwana kwangu mimi  ku-share nanyi picha zake au hali yake ya huzuni haswa wa kufiwa na ndugu yake wakaribu sana.

Mtani wangu (kushoto), Late aunt Phibe (kati), pamoja na mama yake mzazi mtani wangu ambaye pia ni dada wa marehemu
Mtani wangu (kushoto), Late aunt Phibe (kati), pamoja na mama yake mzazi mtani wangu ambaye pia ni dada wa marehemu

Mtani wangu, sina maneno ya faraja ambayo yanaweza kukuondolea maumivu uliyo nayo kwa sasa wewe pamoja na mama Eve, na ndugu wote!Lakini naomba ufahamu kuwa nimeguswa sana na msiba wa aunt and my thoughts and prayers are with you and your family. Mungu awape faraja na nguvu yakuweza kuyashinda yote wakati huu wa msiba mzito wa aunt! Pole sana my darling mtani, mama yetu Mama Eve, familia ya marehemu, ndugu, jamaa, na marafiki…… Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe milele zote! R.I.P aunt Phibe ?