Wema Sepetu: Kila lenye mwamzo lazima mwisho uwepo

Nifuraha ilioje ndugu wakipatana?! Kaka yangu kipenzi Mh. Paul Makonda akiwa na MoyoMtamu wa Tanzania Wema Sepetu nyumbani kwa RC  ?  Mungu ni mwema na amani iwe kwenu! Asante kwa wifi yangu Mrs Paul Makonda kwa kumkaribisha Wema nyumbani kwenu najua hapo lazima dinner fulani amazing ilipikwa au fresh juice fulani nzitooo zilinywewa na kushikana mikono kwa furaha  ???   kweli kuwa “shilawadu” lazima uwe na kipaji kwani si kazi ya lele mama ?? 

Embu msome Wema kwa maneno yake mwenyewe jinsi alivyo andika kupitia ukurasa wake wa Instagram ?? ” wemasepetu……. Kila lenye mwanzo lazima mwisho uwepo…… cc @paulmakonda … Le RC…”

Leave a Reply