Category Archives: Thanksgiving

THC Thanksgiving Gala 2017

Ok wasomaji wangu, sijapata muda wa kukusanya vitu vizuri kuwaletea msome au mtazame. Lakini siyo mbaya kuwaletea matukio yaliojiri kwenye community hii ya Watanzania wa Houston ambapo naishi…..Sorry sikuwepo kwenye hii but always there’s next time. Haya osheni macho na picha nzuri, hii ndio kamati iliyofanya mambo hayo. Hongereni sana mmefanya kazi nzuri na watu wamependeza sana. Kuona picha na maelezo zaidi bonyeza ??

THC-ThanksgivingGala2017

Matukio katika picha: THC Thanksgiving Junior Gala 2017

I love this! Aliye anzisha hii event got brain and big heart! Safi sana. ……..Wapendwa, hii ni Thanksgiving event kwa ajili ya watoto ambayo iliandaliwa na jumuiya ya Watanzania waishio Houston, Texas. Kwa maelezo na picha zaidi bonyeza ?? ThanksgivingJuniorGala2017

Huyu best yangu mama yake na shoga yangu Abiah , yeye anaitwa Vivian. Kapendezaje sasa simple, beautiful, and classy! Just love her look!  Next yr nitaku-join sijui nitakuwa na tumbo ama mtoto ?? whatever the Case will be I will be there, tuombeane uzima!

Happy Thanksgiving America!……. I’m thankful for you all, my good loyal readers. Mbarikiwe sana!