Faraja Nyalandu: Kubali yaishe, maumivu ya leo ni pona ya kesho.

@Regranned from @farajanyalandu - #Niliyojifunza2017
 4/10 Sio kila changamoto utakayopitia ni ya kutatua, nyingine ni za kuzivuka kama zilivyo ili ujifunze. Kwa mfano kuna changamoto zinazoweza kutokea ili kukudhihirishia watu ulionao kwenye maisha yako. Kuna watu wamefika mwisho wa safari yao kwenye maisha yako au wewe umefika mwisho wa safari yako kwenye maisha yao na kuna matukio yatakufahamisha hivyo. Kubali yaishe, maumivu ya leo ni pona ya kesho. Move on to a better day! - #regrannĀ 

Leave a Reply