Mr and Mrs Mziray

Mr and Mrs Richard Mziray all the way from South Africa! Too cute!...... Haya tuna anza  moments za wapendanao. Naomba awe mume / mke halali sitaki kesi mie!! Nasitaki wale wenye ndoa za "Facebook"! Eti umezaa na mtu au umewekwa kimada unatangazia dunia kuwa "married"!! Stupid kabisa! Kama hauna cheti cha ndoa embu tuliza makalio yako huko ????  Oprah yupo na Stedman mwaka wa 30 sasa (30 yrs) lakini hata siku moja hajawahi kumRefer Stedman as her husband kwasababu anaheshimu Marriage Institution sasa nyie wanawake wa mwendokasi ndio mnajiona wajuaji sana??! Sindio maana mnapelekeshwa kama matahira mnaelimu lakini hamja elimika ?? Kama hamnielewi tazama hiyo show ya Iyana fix my life with Taryll Jackson ?

Leave a Reply