Ngoja tucheke tu leo!

img-20161108-wa0000????? Jamani ngoja tu tucheke maana haya matokeo ya kura jinsi yanavyo enda yanatupa pressure tu ?? sasa hiyo picha inaonyesha jinsi Black people hali yao itakavyo kuwa baada ya Trump kutangazwa mshindi  (hopefully he won’t win), watu watakuwa na boat party going back to Africa! ?? O’Lord help us! ??

Leave a Reply