Timu vibonge amkeni twende!

Regrann from @open_kitchen2014 - If you dont know my journey its better to be quiet from size 22/24 to size 14/16 53kgs nimezitoa all kwa juhudi zangu nikiwa nimezungukwa na chakula kitamu na vitu vitamu lakini nimejenga discipline ya ajabu .

.kila kitu kinawezekana Amka twende - #regrann

Jamani timu "vibonge" amkeni twende sambamba na mama wa Mahanjumati, Open_kitchen kakata manyama uzembe hiyo ni picha ya zamani ukitaka kuona picha zake zasasa hivi na jinsi anavyofanya mazoezi tembelea Instagram page yake. Hongera sana mpendwa ...... Jamani mimi tumbo limegoma ,??? napambana nalo najua one day litatoka tu! Amkeni jamani vibonge wenzangu tupambane na hali zetu ??????

Leave a Reply