Wajukuu wamtembelea babu mkubwa!

Haya wenye babu zao acha waringe ?? my International niece and nephew leo baada ya kutoka kanisani wakasema wame m-miss babu mkubwa hivyo wakaenda kumsalimia na picha wakanitumia eti kunipa wivu ?? mwe! Nitasema nini zaidi ya kukodolea macho picha?! Maana mie babu zangu wote walisha lala usingizi wa mauti ??   Nivyema sana watoto kufundishwa their roots ili waweze kujitambua na kujivunia asili yao. Wajue vyanzo vya familia zao na kuviheshimu. Pia nifuraha na faraja sana kwa akina bibi na babu kuwa na mahusiano mazuri na wajukuu zao. Kwafaida ya wasomaji wangu, hawa ni watoto wa mdogo wangu Janeth Igogo. Na huyo babu yao ni baba yangu mkubwa mzee Charles Igogo.  Mungu azidi wabariki sana 

Leave a Reply